Hii confidence huwa mnaitoa wapi, na wakati tarehe 8 mlikimbia kucheza? Nyinyi kwa Yanga bado ni wachumba tu.Habari zilizokuja hivi punde wanasema viongozi wao wanaandaa barua ya kupost kwamba hawachezi na jopo la wanasheria wao wanaandaa kurasa zingine 600 kuwatumia CAS
Nani kafunga? Nasikia kelele banda umizaa.
😂😂😂😂😂😂ahoua hatrick
Magoli ya kijanja kipa afanyejeKipa wa Pamba amebet
Wekundu wa Msimbazi mnawashwa washwa sana na Yanga SC, kucheza mcheze Mbumbumbu, furaha muipatie kwa Bingwa wenu Yanga SC aliyewatembezea vichapo vitakatifu mara 4 mfululizo......!?Moderator mwiko nyuma bona ubao unasoma 2?😀😀😀
Wanabadilika majina kutokana na nyakatiKumbe sio chura, ni mbwa
AhouaLa Tatu kafunga nani?
Anayefahamu huyu Ahoua ana goli ngapi na anayefuata ana ngapi hebu aweke wazi hapa tuachane na shughuli ya MVP tufikirie ubingwa na kipa bora sasa.Ahoua
Nye ni mwali tu mtasumbua mwisho wa siku mtavua tu chupii tar 15Hii confidence huwa mnaitoa wapi, na wakati tarehe 8 mkikimbia kucheza? Nyinyi kwa Yanga bado ni wachumba tu.
Ahoua ana magoli 15, Mzize 13, Dube 12, Ateba 10, Rupia 10, Souwah 10Anayefahamu huyu Ahoua ana goli ngapi na anayefuata ana ngapi hebu aweke wazi hapa tuachane na shughuli ya MVP tufikirie ubingwa na kipa bora sasa.
Nimesikia mtangazaji wa Azam anasema kabla ya huu mchezo alikuwa na magoli 12. Ukijumlisha na 3 ya leo, Jumla 15, kibindoni.Anayefahamu huyu Ahoua ana goli ngapi na anayefuata ana ngapi hebu aweke wazi hapa tuachane na shughuli ya MVP tufikirie ubingwa na kipa bora sasa.
Atakula kono la nyani huyuGoooaaaaalllll
Atebaaaaaaa