Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Bado hujamaliza kutaja hayo makundi ya watu! Endelea....
Mguto oyeee!
Almas Kasongo safiii!!
Tatu Malogo oyee!
Kepha Kayombo oyee!
Japhet Smart oyee!
Shomary Lawi oyee!
Penati Fc oyee!
Mbereko Fc oyee!

Halafu unaitikia
Oyeeee!! Safiii!
Hivi ninyi utopolo mna akili kweli!!😂😂

Yaani unadhani mimi nawaza kama utopolo? Ndio nilishamaliza hapo. Mimi sipo kichwani kwako taja mwenyewe😎😎😎
 
Leteni ujinga tena,mtatandikwa na polisi mpeleke tena kesi CAS
Kwamba Polisi inaingilia masuala ya mpira wapewe pointi 3😂😂

Huko CAS nadhani hata hawahangaika kusoma rufaa au utetezi wa Yanga maana walishajua ni vilaza hawa
 
Simba 5 vs Pamba Yanga 1.

Maumivu makali yapo Jangwani
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mimi nataka tu kufahamu kwenye hii mechi ya leo atachezesha nani kati ya wale waamuzi wetu maalum? Maana Kepha Kayombo tayari amechezesha dhidi ya Mashujaa na matokeo tumeyaona! Japhet Smart amechezesha dhidi ya JKT!

Bado amebakia Tatu Malogo tu ili mzunguko utimie! Au atarudishwa tena Kepha Kayombo?
Huyo aliebaki ni wa dabi😎
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kwamba Polisi inaingilia masuala ya mpira wapewe pointi 3😂😂

Huko CAS nadhani hata hawahangaika kusoma rufaa au utetezi wa Yanga maana walishajua ni vilaza hawa
Wanaoleta vurugu ni mashabiki,si unaona wanavyopanga vurugu, mashabiki watatandikwa na polisi ili kusiwe na vurugu,polisi ni suala la ulinzi na usalama watu wapigwa virungu na game itachezwa
 
Tangu lini huo uwanja umeanza kulindwa na polisi? Mimi nauliza mkikutana na mabaunsa 10 wamesimama pale getini, mtacheza au mtasusa tena?
Waleteni tena tuone,tunataka tucheze na Utopolo sio mabaunsa
 
Ukike unacheza mkuu?
Umeona offside za kipindi cha kwanza kwa upande wa Pamba Jiji? Kipindi cha pili mpaka kinaisha hakuna mahali amenyoosha kibendera kwa ajili ya offside, wala faulo! Mpaka kuna mchezaji wa Pamba Jiji alimlalamikia na yale ma make up yake usoni.
 
Kwa hyo ilitakiwa pamba washinde au sio!
 
Hujajibu swali mkuu... kwa hiyo kwa ulivyoiangalia game score ya matokeo nani alistahili kushinda Leo kwa performance ya uwanjani?
Mpira ulikuwa ni 50/50 mpaka pale mwamuzi alipo puliza filimbi na kuruhusu penati yenye utata kama ilivyo kawaida. Kwa hiyo naweza kusema mchezo ungeweza kuisha hata kwa sare.
 
Mpira ulikuwa ni 50/50 mpaka pale mwamuzi alipo puliza filimbi na kuruhusu penati yenye utata kama ilivyo kawaida. Kwa hiyo naweza kusema mchezo ungeweza kuisha hata kwa sare.
Mbali ya ile penalty kwa hyo magoli yale mengine ya open play hayakustahili?
 
Mbali ya ile penalty kwa hyo magoli yale mengine ya open play hayakustahili?
Shida ya mpira wa miguu ikitokea makosa ya aina ile yanaweza kusababisha wachezaji kutoka nje ya mchezo. Na sidhani kama mnafahamu wachezaji wengi wa timu ndogo wanahisi mnapendelewa na waamuzi.
 
Back
Top Bottom