Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Na huu ndio uwezo halisi wa simba wakiwa hawachezewi faulo za kijinga, waambieni hao wachezaji wenu mnaowatuma kuwa waache kucheza karate wacheze football, siyo waamuzi wakiwa fair mnaanza kulalamika simba wanabebwa sijui upuuzi gani
Leo angalau tumekuwa pamoja kimtazamo tangu nijiunge JF
 
Back
Top Bottom