Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

CAS kuna sehemu wamesema Yanga kashindwa kesi🥺.....mbona Unaleta ubwege ww mwenyewe
Screenshot_20250501-234256.png
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Vipi tukiweka tena mabaunsa! Na safari hii hatuweki mabaunsa wawili kama pale mwanzo. Tunaweka mabaunsa 10!
Mnadhani TPBL na serikali ni mama yenu.

Jaribuni muone, Utopolo wakubwa nyie.

Kazi kufanya upuuzi na kutujazia saver za JF kwa malalamiko yenu uchwara

Mnaaibisha Taifa kila mara mnaangukia pua CAS hata akina Morisson wanawapiga za uso.

TPBL oyeeeee
Idumu TBPL
Kariaaaaaa .........Saaaaffiiiiiiiiiiii
Utopoloooooo........Zzzzziiiiiiiiiiiiiiiiii
Mtacheza tu.😎😎😎
Screenshot_20250501-234256.png
 
Mnadhani TPBL na serikali ni mama yenu.

Jaribuni muone, Utopolo wakubwa nyie.

Kazi kufanya upuuzi na kutujazia saver za JF kwa malalamiko yenu uchwara

Mnaabisha Taifa kila mara mnaangukia pua CAS hata akina Morisson wanawapiga za uso.

TPBL oyeeeee
Idumu TBPL
Kariaaaaaa .........Saaaaffiiiiiiiiiiii
Utopoloooooo........Zzzzziiiiiiiiiiiiiiiiii
Mtacheza tu.😎😎😎View attachment 3328150
Bado hujamaliza kutaja hayo makundi ya watu! Endelea....
Mguto oyeee!
Almas Kasongo safiii!!
Tatu Malogo oyee!
Kepha Kayombo oyee!
Japhet Smart oyee!
Shomary Lawi oyee!
Penati Fc oyee!
Mbereko Fc oyee!

Halafu unaitikia
Oyeeee!! Safiii!
 
Ahoua ana magoli 15, Mzize 13, Dube 12, Ateba 10, Rupia 10, Souwah 10
Huyo Ahoua katika hayo magoli 15, unaweza kukuta 10 ni ya penati za mchongo! Na hii ndiyo Tanzania.
 
Back
Top Bottom