Refa ana mahaba ya wazi kabisa
zingatia kumalizia MbidaGoooaaaaaallllll
Atebaaaaa
Ahoua anaongoza goli 15Anayefahamu huyu Ahoua ana goli ngapi na anayefuata ana ngapi hebu aweke wazi hapa tuachane na shughuli ya MVP tufikirie ubingwa na kipa bora sasa.
Naona malengo ya magoli mengi ndio kinatafutwaClean sheet wachezaji wameshindwa kumlinda Camara