Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach

Kuna watu wamekuwa hawaheshimu maitiu.Mtu akifa wanamsumbua kwa kumnyanyua kumtembeza na hata kupiga vibao ili afufuke.

Mfano mzuri ni wa Kanisa la SLOAMU mbezi beach ambapo toka kiongozi wao NABII ELIYA MUNUO afariki juzi wamekuwa wakiitesa hiyo maiti kwa kuitembeza n.k ili afufuke.Haya ni mateso kwa maiti.Mtu akifa anatakiwa akazikwe sio kumpa mateso namna hiyo

VYOMBO VYA DOLA NA WAANDISHI WA HABARI NENDENI KULE Kanisa la SLOAMU MBEZI BEACH DAR ES SALAAM MKAONE MATESO ANAYOPEWA MAITI.Naambiwa hiyo si mara yao ya Kwanza

Kuweko sheria ya kuheshimu maiti.
kwani maiti zimeonyesha masikitiko, manung'uniko, au huzuni ya namna yoyote kwa hayo wanayowatendea?!
 
Mazishi ni lini..?

Bado mnakesha kumuombea afufuke..

Mazishi ya mwili wa adamu wa pili ni J4 wao wanaiita jingine (km jumapili ya wakristo) lkn wanasema yeye amepona umauti ametwaliwa ila mwili wake uko lugalo.
 
usisahau kuwa maombi yana nguvu sana hata kuhamisha milima
anaweza kufufuka na mkabaki midomo wazi,waacheni wafanye maombi
 
Acha uongo ndugu yangu,pia usipotoshe watu kwa uongo wako wa kijinga.
 
Kuna watu wamekuwa hawaheshimu maitiu.Mtu akifa wanamsumbua kwa kumnyanyua kumtembeza na hata kupiga vibao ili afufuke.

Mfano mzuri ni wa Kanisa la SLOAMU mbezi beach ambapo toka kiongozi wao NABII ELIYA MUNUO afariki juzi wamekuwa wakiitesa hiyo maiti kwa kuitembeza n.k ili afufuke.Haya ni mateso kwa maiti.Mtu akifa anatakiwa akazikwe sio kumpa mateso namna hiyo

VYOMBO VYA DOLA NA WAANDISHI WA HABARI NENDENI KULE Kanisa la SLOAMU MBEZI BEACH DAR ES SALAAM MKAONE MATESO ANAYOPEWA MAITI.Naambiwa hiyo si mara yao ya Kwanza

Kuweko sheria ya kuheshimu maiti.

Yani nimecheka! MAITIU ndo nini haya???
 
WARAKA KWA WAAMINI-SILOAM.jpg
 
Attachments

Huyu jamaa alidevelop kitu kinachoitwa supernatural powers, akazichanganya na Mambo ya Mungu akawa anawaendesha waumini atakavyo yeye, ukiwa na hizi nguvu unaweza kucheza na akili za binadamu kadiri utakavyo
 
Ni kweli si mara yao ya Kwanza, walifanya hivyo kule Kyela mkoani Mbeya, wakafanikiwa kufufua maiti wanne, tena kule Machame wakainua maiti moja, na kuchinja wachawi vigagula wawili (in de spiritual realm) hakuna waandishi wala Media yoyote iliyobebea bango hilo.
kwa hiyo wamezoea waacheni jamani

Makubwa!
 
tulishajadili utapeli wa huyo "nabii feki"

sasa wazalishe mwingine, maana dini kwa sasa imekua mtaji safi sana wa kunyonya masikini na wasio werevu
 
Achana na huo upuuzi wao hawa watu ni waongo wa wazi wazi yaani hata hawakufichi kwamba wanakudanganya.Huyo nabii wao anawafundisha wasiende hospitali wakiumwa huo si utahira kabisa,halafu mtu kama huyu anayeweka maisha ya watu kibao hatarini mnamwambia alale mahali pema.Rest in hell MUNUO,umepoteza wengi kwa kupindisha maandiko na damu zao utadaiwa na Yeye ahukumuye kwa haki pasipo upendeleo.
Nashuhudia ni kweli kabisa, namjua mama mmoja sliyekuwa anakunywa dawa za kurefusha maisha akaambiwa azitupe.
She died promptly.
Roho hizo zitadsiwa toka kwa huyu mhubiri aliyepotosha watu wengi na kuwapeleka mautini kabla yz wakati wao.
 
Poleni wafiwa.ila kulikokuteseka ivo naona ni bora kumpeleka kwa Gwajima mze wa kanisa la ufufuo atamfufua but ni wazo.
 
Jaman me ninasali siloam pia bt wa2 weng wanaongea vitu wasivyovijua bt mwenye swal aniulize na ii sio dini ni kanisa jaman mtofautshe din znazofahamika ni wakristo na waislam kwa tanzania siloam ni kanisa wala c dini wala dheheb

Dini maana yake ni Imani, na Imani maana yake ni kuwa na hakika wa mambo yatarajiwayo . sasa kama nyie hamna dini inamaana hamna hakika na mambo yatarajiwayo ? Mbona sasa mnahubiri mambo ya Imani kama nyie hamna Imani?
 
Back
Top Bottom