Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach

haya mambo ya iman haya,ni kama ukichaa ivi.Majiran zangu huku tegeta masaiti wako ktk kanisa ambalo "eti kuzaa ni dhambi"!na sababu na vifungu kutoka ktk biblia wanavyo!

Biblia ni kama msitu mnene ukikatisha ukitumia akili vzr unatokea upande wa pili bila shida lkn ukifanya hamnazo utazunguka humo na hutaweza kutoka so wengine wameamua kuazima akili za wengine kusomea Biblia so kazi ni kwao
 
wandugu nimepata taarifa kuwa ---- mambo mazito yanaendelea kuanzia jana hadi leo kanisani hapo mbezi Beach Makonde..Mwenye habari zaidi atujuze au kama kuna mtu anasali hapo atuambie tafadhali
Na tangazo lao hilo hapo.Limesainiwa na ndugu miaka 1000.
 
Attachments

  • sloam.jpg
    sloam.jpg
    45.5 KB · Views: 2,391
Naomba unieleweshe yafuatayo;
1. Ni kweli hamtumii jina "Biblia?"
2. Ni kweli huyo Elia alikuwa nabii wa mwisho, na baada yake kitatokea nini?
3. Nani mrithi wake?
4. Ni kweli amekufa kwa tetanus
5. Ni maandiko yapi mnayosema yalikosewa?
5. Badala ya damu ya Yesu ninyi mnaomba nini au mnatumia jina gani
6. Nani mwanzilishi wa kanisa hilo na alikuwa na uhusiano gani na huyu mr. Munuo
7. Nini tofauti ya kimsingi kati ya kanisa la siloamu na makanisa mengine ya kiroho
8. Umesema siloamu sio dhehebu, je kila muumini ana dhehebu lake? au dhehebu ni dhambi

cc: Yericko Nyerere
 
haya mambo ya iman haya,ni kama ukichaa ivi.Majiran zangu huku tegeta masaiti wako ktk kanisa ambalo "eti kuzaa ni dhambi"!na sababu na vifungu kutoka ktk biblia wanavyo!

Makubwa!
Mkuu kanisa gani hilo
 
yani hawa jamaa hakuna mungu kbisa maana ndugu yangu mmoja kaingia humo matokeo yake mkewe kafa kwa kutokunywa dawa akimuogopa mumewe na yeye mwenyewe kama hazimtoshi vile siku ya kuzika cjawah ona maana ni vituko si mchezo mara mti mkavu marahv hayo maombi yao kama wamepandisha majini.
 
Hahahaa haaaa
 
Miaka 1000!

Yap Ndo wanaambiwa wataishi hyo miaka...Nilikuwa nasikiliza redio wapo hapa muungano ni mmoja akihojiwa anashangaa eti walijua wanaishi hyo miaka ss anashangaa mbona katangulia hyo mkuu wao!!
 
Nimesoma kwenye website yao ambayo mchangiaji mmoja ameweka anwani inadai nabii Elia Munuo alimuua shetani mwaka 2012, hivyo kwa kuwa shetani amekufa utawala wa miaka 1000 umeanzia mwaka 2012, yaani hakuna magonjwa, mateso, kifo wala huzuni. Na wametengeneza kalenda ambayo huu ndio mwaka wa pili wa kutawala na Yesu.

Bahati mbaya hakuna muumini anayejitokeza ili tujue usahihi wa mambo haya.

Lakini ikiwa ni hivyo imani za waumini wengi zitakuwa zimevurugika kwa msiba huo maana ni tofauti na walivyoaminishwa

Cha msingi kujua ni kuwa Yesu yupo kweli, wokovu upo kweli, na Mbingu ipo kweli, hata kama Munuo alikuwa na imani "mchanganyiko", si lazima kusali Siloamu.
Andiko linasema, ( Jaribuni mambo yote, lifuateni lililojema.1 wathesalonike: 5:21 )
 
Ati mch. Elia ametwaliwa! Hizi taarifa hazijathibitishwa na watu wengine nje ya waumini wake, amvao wanamwamini kama nabii mwenye uwezo wa Elia wa zamani na kutwaliwa sawa na elia. Uvumi huo, tafadhali upuuzeni. Hizi ni roho za mashetani zitendaxo miujiza ya kudanganya yumkini hata wateule. Asomaye na afahami
 
ukisema kwenye makanisa haya wanavutishwa bangi ya arusha bila kula ..unaonekana humjui sir god!🙄
 
manabii wa siku hizi wanapenda maisha ya mavituzzzz, mapesazz. Hawasisitizi kutubu, kuacha dhambi, hawazungumzii sana upendo bali sauti na matangazo yao ni kama waganga wa kienjeji. Yaani eti utapona,majini yatatoka, utapata utajiri...ukimwi utapona....and then tuma mapesa kwa m..

Matapeli wakubwa. Mnatudanganyia sana wake zetu na hasa wasio na ROHO WA BWANA. Wachungaji wa kondoo wana machopers Helikopta, magari ya kifahari huku kondoo hawali majani, ufukara ndio unatula,madawa hamuna, elimu, mushahara hamuna, mwendo wa maharagwe na uji... muulize muuza mtumba akusimulie utatoka machozi.Unanunua chopa?

unataka mchungaji akupe msosi mkuu,mbona unachekesha inamaana unapoenda kanisani unafuata mihela na misosi duhhhh
 
Back
Top Bottom