Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach


Hivi ni mimi tu sielewi kiswahili kilichoandikwa hapo au mbona kachanganya mambo ya mauza uza aisee huyu mchagga lawakamata waumini kwa lugha hiyo hakika utafuata mkumbo tu huelewi
huhusu kubadili majina na kutengana na ndugu huyu alijua hilo kanisa likijulikana ni la mchagga watu watashtuka ni wapigaji tu so he confuse them than convince akaanza na yeye mwenyewe kunyutralize the fact na akawapata.nilisoma na jamaa mmja 2009 anaitwa Edward sasa hivi ni mchungaji huko mbezi sasa ukimpigia simu ukamwita Edo anakata simu,ni tajiri balaa alifanya kaziTCC akaona hailipi
kilimanjaro na arusha hili kanisa limeshamiri sana nakule mererani penye jela hahahahaaaaa mtaliwa wajinga mimi ngooooosina dini an just a follower of J.C
 
Jaman me ninasali siloam pia bt wa2 weng wanaongea vitu wasivyovijua bt mwenye swal aniulize na ii sio dini ni kanisa jaman mtofautshe din znazofahamika ni wakristo na waislam kwa tanzania siloam ni kanisa wala c dini wala dheheb

Naomba unieleweshe yafuatayo;
1. Ni kweli hamtumii jina "Biblia?"
2. Ni kweli huyo Elia alikuwa nabii wa mwisho, na baada yake kitatokea nini?
3. Nani mrithi wake?
4. Ni kweli amekufa kwa tetanus
5. Ni maandiko yapi mnayosema yalikosewa?
5. Badala ya damu ya Yesu ninyi mnaomba nini au mnatumia jina gani
6. Nani mwanzilishi wa kanisa hilo na alikuwa na uhusiano gani na huyu mr. Munuo
7. Nini tofauti ya kimsingi kati ya kanisa la siloamu na makanisa mengine ya kiroho
8. Umesema siloamu sio dhehebu, je kila muumini ana dhehebu lake? au dhehebu ni dhambi
 
Mazishi ya mwili wa adamu wa pili ni J4 wao wanaiita jingine (km jumapili ya wakristo) lkn wanasema yeye amepona umauti ametwaliwa ila mwili wake uko lugalo.

hahahahaaaaaaaa
akili ni nywele ama kweli
 
unapochangia/ kuongea jambo, hakikisha una ufahamu wa kutosha kuhusiana na jambo hilo. la usichangie utajipa laana bure
 
Huwa hawafanyi Kazi

Inawezekana mkuu kwasababu nimepita Saa 1:15 asbh pale makonde karibu na kanisa lao nimewakuta wengi kweli wako kwwnye basi then wote wamepiga nguo nyeupe
 
Alijitabilia kifo chake. Apumzike kwa Amani.

Alijitabiria wapi kwa mtu aliyesoma ukipata tetanus kinachofuatia ni umauti ni sawa na mtu anywe sumu halafu aanze kutoa wosia alafu mje mseme alijitabiria hana tofauti ya yule mwingine aliyejifanya kutembea juu ya maji baharini yaliyo mkuta yupo na lusifer wanapiga story.
 
KITABU CHA NENO

Wanasema Biblia limetokana na neno Vivlio ambapo lina maana ya Mungu Mke kiyunani. ..

The Bible (from Koine Greek τὰ βιβλία, tà biblía, "the books") is a canonical collection of texts sacred in Judaism and Christianity.
They got it all wrong... Biblia kwa kiyunani (kigiriki) inaitwa ta biblia, maana yake ni mkusanyiko wa vitabu au library.
 
Neno la Mungu linasema "Baada ya kifo ni hukumu" Mungu ampe haki yake.Jina la Bwana lihimidiwe.
 
Poleni kwa msiba wa Elia wa kizazi cha nne. Mungu halisi ametwaa
 
Leo asubuhi kanisani SILOAM wakati wa maombi ya asubuhi waliweka CD ya nabii Eliya, majirani wakaanza kushangaa kuwa huenda nabii huyu hajafariki au amefufuka.

Habari za uhakika hata ndugu zake hawakuwa wanafahamu km amefariki, inasemekana kuwa mdogo wake anayeitwa Swai aliposikia taarifa hizi aliamua kwenda kanisani, alipofika pale hakuona km kuna msiba, aliwauliza waumini kuhusu viongozi walipo wao wanawaita makuhani wakiwa na kikao juu ghorafani, alipofika walimkarisha kwa kumpa hongera sana, akashangaa kwa nini alikuwa anapewa hongera, aliuliza zaidi kwa nini hongera? alojibiwa kuwa Nabii Eliya alikuwa ameshinda umauti amenyakuliwa na MUNGU, nasikia ndugu yake akauliza kwa hiyo hayupo akajibiwa yeye hayupo amenyakuliwa ili mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Lugulo. kwa taarifa zaidi mazishi yatakuwa siku ya J4 ambayo ndiyo km jumapili ya kwao.

Hivyo wao wanapeana hongera lkn kwa sasa kumepooza sana. Nabii huyu kwa jina jingine alijiita adamu wa pili. makazi yake yapo bao bao km unaenda bagamoyo, kuna mjengo wa ghorofa km 3, na magate 3 kabla ya kufika mjengoni.

Hivi Yesu mwenyewe aliishi kwenye ghorofa tatu na geti utafikiri shimo la tewa....mmmhh
 
Alijitabiria wapi kwa mtu aliyesoma ukipata tetanus kinachofuatia ni umauti ni sawa na mtu anywe sumu halafu aanze kutoa wosia alafu mje mseme alijitabiria hana tofauti ya yule mwingine aliyejifanya kutembea juu ya maji baharini yaliyo mkuta yupo na lusifer wanapiga story.
Mungu ni wa ajabu!
Mambo yako hivi, huyo Munuo amekufa kwa aibu ya kujitakia na amekufa kwa kikombe kile kile alichowanywesha waliokufa awali.
Alipandikiza imani kwa waumini wake ati wasinywe dawa wakiugua, na wengi wamekufa ndani ya kanisa hilo, mimi nawafahamu at least wawili.

Sasa Mungu kamchoma kamsumari ka tetanus, ikawa aibu kwa Munuo kwenda hospitali maana aliwaambia wenzake wasiende.
Tetanus ni ugonjwa mdogo sana ukiwahiwa, lakini kwa vile Munuo angeonekana hospitali akidungwa sindano akameza kikombe kile alichowapa wenzake.

Hukumu ni hapa hapa duniani, mwenye masikio na asikie!
 
Back
Top Bottom