Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach

Hilo siyo kanisa;
Wameigeuza Biblia, sasa huyo eliya na elisha wanayemtaja wamempata wapi?

Eti nabii aliita watu na kuwaaga, tutaamini vipi hayo maneno kanisa lenye watu wasemaji kama hilo?

Jirani yangu anayesali hilo kanisa mtoto wake aligongwa na gari akafa, ule msiba ulikuwa ni aibu, watu wanapeana hongera na kugongeana mikono.

Hakuna kanisa ni kichaka cha kula pesa kama vilivyo vichaka vingine.
 
Alikuwa anajiita Mungu wa pili, halafu kafa tangu lini mungu anakufa? Imani inapokuwa mzigo ni shida
 
Acheni uongo nyie kizazi cha shetani,

Tangu jana kuna maombi ya TOBA, hakuna aliyekufa bali kalala tu mjumbe wa mapenzi ya Mungu Eliya Kizazi cha nne.
yaani yeriko na ujanja wako wote na wewe ni mfuasi wa hii dini ya mpinga kristo?
 
Mbona ukifuatilia maubili ya TBJoshua huwa anawaumbua manabii wa aina hii wengi tu na wanasema kweli ni nguvu za giza wanatumia kupumbaza waumini na kupona kwako ubahatike kushukiwa na Neema ya Yesu bila hivyo utaishi masikini utafirisika kama ulikua na pesa mpaka unakufa na unazama kuzimu.
Fatilieni YouTube Emmanuel TV au Scoan utasikia mengi tu kwa watu wa namna ya huyo nabii Eliya wao
 
Back
Top Bottom