kweli kabisa kazi ipo
sumu, blind faith ni kitu kibaya mno, unakanyaga msumari wa tetanus unakataa tiba ukiamini utapona kwa miujiza, mungu anatufundisha tujifunze kujisaidia naye atatenda alichofanya ni sawa na
-unazama mtoni unamuomba mungu akuokoe ghafla unaona tawi la mti, badala ya kulishika na kuendelea kumwomba mungu wewe unaliacha
-unamuona mnyama mkali kabisa mbele yako badala ya kutimua mbio huku ukimwomba mungu we we ndio kwanza unamsogelea
- wenzako wanadamka kwenda kazini huku wakimwomba mungu wewe unajifungia chumbani siku nzima na maombi ukiomba utajiri
mifano ni mingi