Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach

tunasubiria afe geordavie
anapenda sifa,kujigamba na kusujudiwa
we will see!
 
NI HALISI: Kiongozi wa kanisa la Sloam Nabii Eliya Kizazi channe amefariki dunia (amelala) jana saa saba mchana, mda mfupi ujao mfuasi mkuu wa kanisa hilo na kaimu kiongozi Elisha Eliya Miaka 1000 atazumgumza na wanahabari kuwajuza na kuwapeni taratibu za mazishi

Ahhh.!! We jamaa rudi tu kwenye siasa..
 
Ni kweli kabisa nimethibitisha Mtumishi wa Munguu Nabii Eliya Mwangalizi mkuu wa Makanisa Ya Siloam ambayo yapo mpaka mikoani mwote Tanzania Amelala. RIP
 
Ni kweli Nabii Eliya amefariki na nimepata taarifa hapa posta kuwa alipata wasaa wa kuwaaga waumini wake siku ya Jumapili yao ambayo huwa ni jumanne na pia alipata wasaa wa kuwaaga watumishi wake wote wa branches na watoto wake kuwa ATALALA( ATAKUFA)

Nabii Eliya yupi? Yule Thebeti Eliya si alishakufa miaka kadhaa imepita? Au kuna Nabii Eliya mwingine? Naomba nielimishwe.
 
Nabii Eliya yupi? Yule Thebeti Eliya si alishakufa miaka kadhaa imepita? Au kuna Nabii Eliya mwingine? Naomba nielimishwe.


Kiongozi wa kanisa la Sloam la MBezi Beach, Nabii Eliya Kizazi channe au kwa jina lake la zaman N.MUNUO
 
Laa kanisa la traffic ,maake wanaamurishwa kuvaa nguo nyeupe toka chini hadi juu,haya makanisa mengine kweli shida ,wanavarishwa uniform kama wapo majeshini /mahospitali
 
Back
Top Bottom