Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach

wamfufue basi ....wote hao ni manabiii wapigaji tu
mwishoni unaishia kuumbuka tu
 
Labda sielewi, eti "..maiti inateswa..", navyojua mimi kitu kisicho na uhai hakisikii maumivu wala raha, hivyo kusema kuitesa maiti sielewi maana yake ni nini! Je, kuitembeza au kuisimamisha ni mateso makubwa zaidi kuliko kuifukia kwa "tani 7" za mchanga? Sielewi!

Nadhani si kuitesa bali ni "kuidhalilisha tu", mtu akisha kufa roho yake ikaacha mwili, huo mwili ni wa kuuhifadhi chini ya ardhi yaani kuuzika ukaozee huko uwe mbolea kwa mimea nk. Waumini hao wanatakiwa kuheshimu sheria ya Mungu, yaani ukizaliwa iko siku utakufa, na ukifa ni kuzikwa.

ukifa unapata maumivu
 
mkuu kama ww n mtu halali......usingeweka huku ungefungua uzi wako......binafsi sio kurukia nyuz zisizo husiana.....nimeona mahali peng sio hapa tu....nina mashaka na ww

khee we umelewa viroba nini? mbona unachangia kitu tofauti kabisa

Ndo zake huyo. Hii post anairusha kwenye threads mbalimbali anazoziona ni za kipuuzi.

katumwa huyo, upotoshaji fani wenzio wanasomea china kasome kwanza urudi ili upotoshe mada ya sloam

Hiyo ni post ya kutapeli watu, kwenye hiyo page aliyoweka link ukiweka password yako ya CRDB wanaidaka wao fasta na kuvuta hela, coz hiyo page sio ya CRDB ila wameitengeneza wao kwa kuifananisha na page ya CRDB. Walishawahi kufanya hivyo kwa kutumia jina la tigo.
Ova
 
watanzania bwana, hivi kwanini hamsomi biblia jamani? na selikari pia inabidi kupitia usajili wa haya makanisa na ikiwezekana wasiwe wanapewa usajili wa kudum kwanza wawe chin ya uangalizi hata mwaka mmoja au zaidi!

Selikari mnafumbia macho, mnafikiri imani ya kibwetele ilikufa? kama yeye alikimbia mnafikiri wahumini wake walikufa? sasa watanzania mnapo shindwa kuchuja haya mambo ya kiroho subiri kuchomwa moto kama kibwetele uganda alivyo wachoma moto wahumini wake wote kisha akatokomea kusiko julikana!
 
Wanampenda sana!
Bora wakate vipande vipande kila mmoja aende nacho nyumbani kwake.
 
ni uchawi huo mi sioni tofauti hivi maiti mnaeza mkageuza ngoma kweli

mkuu hivi alio wafufua Gwajima (misukule) miaka ile wanaendeleaje? wako kwenye jamii na wanaendelea na kazi na wengine shule? au walipotea tena?
 
Hakuna anaeombea maiti na wala hatujawahi kufanya hayo yanayosemwa cha msingi stick to your guns! No research dont talk!
 
Jaman me ninasali siloam pia bt wa2 weng wanaongea vitu wasivyovijua bt mwenye swal aniulize na ii sio dini ni kanisa jaman mtofautshe din znazofahamika ni wakristo na waislam kwa tanzania siloam ni kanisa wala c dini wala dheheb

Mazishi ni lini..?

Bado mnakesha kumuombea afufuke..
 
hao waumini wachukuliwe hatua mara moja kwa kuinyanyasa maiti. nabii eliya si ndiye mwanzilishi wa siloam au huyo ni elia mwingine?
 
Kuna watu wamekuwa hawaheshimu maitiu.Mtu akifa wanamsumbua kwa kumnyanyua kumtembeza na hata kupiga vibao ili afufuke.

Mfano mzuri ni wa Kanisa la SLOAMU mbezi beach ambapo toka kiongozi wao NABII ELIYA MUNUO afariki juzi wamekuwa wakiitesa hiyo maiti kwa kuitembeza n.k ili afufuke.Haya ni mateso kwa maiti.Mtu akifa anatakiwa akazikwe sio kumpa mateso namna hiyo

VYOMBO VYA DOLA NA WAANDISHI WA HABARI NENDENI KULE Kanisa la SLOAMU MBEZI BEACH DAR ES SALAAM MKAONE MATESO ANAYOPEWA MAITI.Naambiwa hiyo si mara yao ya Kwanza

Kuweko sheria ya kuheshimu maiti.

Kawapige au mwambie maiti akimbie. Usilazimishe watu wafuate imani yako.
 
Hivi waumini wa hizi dini wana akili timamu kweli,it is all insanity.Mimi nikipata Uraisi dini zote za design hii nazipiga marufuku mara moja.
 
Ni kweli Nabii Eliya amefariki na nimepata taarifa hapa posta kuwa alipata wasaa wa kuwaaga waumini wake siku ya Jumapili yao ambayo huwa ni jumanne na pia alipata wasaa wa kuwaaga watumishi wake wote wa branches na watoto wake kuwa ATALALA( ATAKUFA)
Alijitabilia kifo chake. Apumzike kwa Amani.
 
mkuu kama ww n mtu halali......usingeweka huku ungefungua uzi wako......binafsi sio kurukia nyuz zisizo husiana.....nimeona mahali peng sio hapa tu....nina mashaka na ww

khee we umelewa viroba nini? mbona unachangia kitu tofauti kabisa

Huyu binti atakuwa tapeli anawavutia watu kwenye hiyo link, haiwezekani kila thread yeye yumo tu..
 
mkuu hivi alio wafufua Gwajima (misukule) miaka ile wanaendeleaje? wako kwenye jamii na wanaendelea na kazi na wengine shule? au walipotea tena?

matapeli tuu hizi imani zngine ni utapeli tu mi walimfilisigi anko wangu hamu sina nao
 
Back
Top Bottom