Sifikiri kama ni mara ya kwanza

Sifikiri kama ni mara ya kwanza

Ondoa hiyo picha mkuu, unachafua uzi
Kwa heshima yako naiondoa Mwenyekiti
20250814_061327.jpg
 
Halafu wanatoa povu nasikia ni wa kiume. Hii ndo kusema kuwa nao ndio wale watembeao na vioo kwenye mikoba?! 🤔
Nimewaona nikawazoom ila niliwaona tu ni mijamaa inayotaka kuzichapa kimasihara wana take advantage
 
Nimewaona nikawazoom ila niliwaona tu ni mijamaa inayotaka kuzichapa kimasihara wana take advantage
Kwe Uzi wako fulani uliofutwa eti wanasema wewe ni de gunner 🤣, nadhani wewe hukuona zile comments maana Uzi ulifutwa.

Jamaa kweli wanataka kuichapa kimasihara, nimeshawaona.
 
Kwe Uzi wako fulani uliofutwa eti wanasema wewe ni de gunner 🤣, nadhani wewe hukuona zile comments maana Uzi ulifutwa.

Jamaa kweli wanataka kuichapa kimasihara, nimeshawaona.
Hahahaa wataje hapa walio Dai mimi ni de gunner kwa sababu binafsi sivutiwi na umbea tu😅
 
Hakuna aliye nikoseya humu kamwe hapa nilitak kujua tu Sababu
Humu nimeshagundua watu wakishaona mtu mmoja amekukosea heshima na hujamchukikia hatua kali, wengine nao wanaanza kukukosea heshima.
 
Humu nimeshagundua watu wakishaona mtu mmoja amekukosea heshima na hujamchukikia hatua kali, wengine nao wanaanza kukukosea heshima.
Yeah na kuna majinga yana fuata mkumbo , yenyewe lazima yawe na kiongozi wa mkumbo , hayo hata hayana umuhimu vya kuyajibu ndio maana binafsi naongea na mmiliki wa mbwa na sio mbwa
 
Yeah na kuna majinga yana fuata mkumbo , yenyewe lazima yawe na kiongozi wa mkumbo , hayo hata hayana umuhimu vya kuyajibu ndio maana binafsi naongea na mmiliki wa mbwa na sio mbwa
Wale wazee wanaongozwa na comment ya kwanza kwenye post 🤣

Hawana mawazo yao binafsi.
 
Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani .

Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔

Mara jf kuna majamaa ni mabwabwa ,na wengine mpaka wanatajwa kwa I'd zao , mara kuna majamaa jf wanaishi kwa mashemeji , na wengine hawana lolote wameolewa .

Sasa juzi kwa hali ya utani , tena jukwaa la jokes nikatoa uzi kuwa jf hakuna pisi, hii ikawa nongwa mno na ikasindikizwa na kashfa na chuki kubwa mno na manyuzi kibao😅

Sasa hapa nashindwa kuelewa hizo emotions zote zimesababishwa na nini mpaka povu likamwagika kiasi kile 🤔
Bwashee hebu tuachie pisi zetu maana zina jam na life lilivyokuwa gumu wewe unazidi kuwajaza tu sumu.
 
Back
Top Bottom