MAKALA: Ni kujidanganya kama Taifa kusema mauaji na utekaji ni mambo ya kawaida

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Kutekana-tekana ni ujinga na uhuni wa kishamba, lakini hatujafika hapa kwa bahati mbaya!

Wakati anapigwa risasi Tundu Lissu, baadae alihojiwa mbunge mwenzake, Elibariki Kingu, mtu wa kwao Singida, akasema "ni matukio ya kawaida, watu kutekwa, kupotea na kupigwa risasi". Mbunge anaona sawa mwenzake kupigwa risasi unafikiri tupo salama kweli?

Bunge hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilishindwa kujadili hoja ya mmoja wa wabunge iliyowasilishwa bungeni ikiwa na lengo la kujadili 'ulinzi na usalama wa watanzania' baada ya matukio ya Kutekana-tekana kusambaa sana nchini. Bunge liligoma!

Shida kama taifa ipo. Alipotekwa Ben Saanane watu wengine kwa sababu zao (labda na ujinga wao) walikuwa kwa nguvu zao wakiuaminisha umma kuwa BEN amejiteka, wakaenda mbali na kusema "MBOWE KAMTEKA" mwaka wa pili Saanane hayupo.

Amepotea AZORY AGWANDA, anaulizwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kuhusu wapi alipo Mtanzania huyu anasema "Jeshi la polisi halihusiki kutafuta mtu ambaye amekwenda kutafuta maisha". Hivi kweli huyu waziri ni kiumbe hai?

Waziri wa mambo ya ndani anasema kuhusu AZORY AGWANDA "jeshi la polisi halihusiki kutafuta waliokwenda kutafuta maisha?" wakati huo AZORY ana miaka miwili hajulikani alipo? Hivi hili jibu linaweza kutoka kwa mtu ambaye ana' ubinadamu' ndani yake? Tena kiongozi anayehusika na usalama wa raia na mali zao?

Wauaji wa Tajiri na mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah almaarufu Super Sami, mkazi wa Magu, Mwanza wapo wapi? Tajiri huyu alipotea kwa muda, baadae gari yake inakutwa hifadhi ya Serengeti imechomwa moto. Siku chache anakutwa Mto Ndabaka akiwa kwenye sandarusi, marehemu tayari.

Nchi hii imeokota miili iliyotupwa kwenye fukwe za bahari Mfano Coco Beach, iliamriwa kwa haraka kufukiwa bila hata kufanyiwa 'postmortem' (kupata vinasaba) na ukizingatia wakati huo ndio tulikuwa tupo kwenye mtanziko wa kumtafuta rafiki yetu Ben Focas Saanane. Tuliambia ni "wahamiaji haramu"

Baada ya mkuu wa mkoa wa DSM kusema "ROMA ATAPATIKANA JUMAPILI" na kweli akapatikana (sijui kwa namna gani) tulielezwa 'taarifa ya uchunguzi' itatolewa kwa umma. Hivi tumewahi kupata kuiona hiyo taarifa? Ipo? Haijatoka? Kwanini? Kuna uzembe mkubwa kwetu wananchi. Hatulindani. Ubinafsi ni mkubwa kati yetu.

Kwa sababu jambo halipo katika familia yako, unafikiri upo salama. Unasubiri hadi jambo hilo likupate ndio unapiga kelele za kuomba msaada kwa watu ambao awali ulishindwa hata kuwasemea kwa sauti au maandishi. Hatujui kusimama upande wa wananchi, tumekuwa watu tuliogubikwa na uoga na uzandiki. Tutaangamia wengi sana!

Tunatambua, yanayomkuta "MO" sio ya kawaida, ni mambo ya kushangaza na sio kushangilia. Lakini hata Mohammed Dewji mwenyewe HAJAWAHI KUSIMAMA POPOTE kwa 'status' yake na kukemea haya ambayo yanatokea sasa nchini, angeliweza kusimama na sisi wakati wengi kati yetu tunapotezwa. "MO was silence", hakuwahi kumsemea yoyote!

Hatupo tayari. Hatujui adui yetu ni nani. Ubinafsi ni mkubwa sana kati yetu. Tunaadhibiwa sasa. Hatuwezi kusimama na kumkemea adui, kwa sababu tayari tumegawanyika, na kwa sababu haujafikwa unafikiri wao waliofikwa ndio wenye matatizo! "MO" hajawahi Kumtetea yoyote kati ya WALIOPETEZWA au KUUMIZWA au KUJERUHIWA! We really must change indeed!

Jalada la kesi ya Ben Saanane limefungwa hadi sasa. Namba yake ya simu yake mkononi (ambayo ni sehemu ya ushahidi) amepewa Mteja mwingine wa VODACOM, tumesema tuaitwa "wapiga kelele". tujiulize, Vodacom watagawa namba ya simu ya 'MO' kwa Mteja mwingine (ikiwa hatapatikana?) kwanini?

Baada ya kutekwa kwa "MO" wanajitokeza viongozi kabisa wakubwa wa serikali hii bila hata soni na kueleza masikitiko yao. Na wengine wanaonesha kuumizwa na kuguswa na ambayo yametokea kwa bilionea huyo. Nchi hii imekuwa na Tabia za kupuuzia mambo sana. Tumekuwa watu na taifa la kuona kila kitu ni kawaida.

Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, John Daniel alitekww, akateswa, akatupwa ufukwe wa Coco. Polisi walipewa taarifa na hawakujali. Maiti ya Daniel ulikuwa hautazami mara mbili, watekaji walijeruhi na kuharibu mwili wake kila pahali. Mwili ulikuwa hautazami mara mbili. Dar es salaam hii.

Mkuu wa mkoa anapata wapi nguvu ya kusema matukio ya kutekwa kwa watu katika mkoa wa DSM ni "TENDO JIPYA AMBALO LINAIBUA HISIA TOFAUTI" hili linakuwa vipi tendo jipya ikiwa kuna watanzania zaidi ya watano wametajwa kupotea katika mkoa wa Dar es salaam? Au ni jipya kwa sababu ya "BILIONEA?"

Kwani ROMA MKATOLIKI hakuwa na familia? Hivi January Makamba haujui kwamba hadi sasa LAURA BEN SAANANE amekosa kumuona kabisa baba yake? Hivi kuna sehemu January Makamba umewahi kutaja hata jina la BEN SAANANE kimakosa kuonesha kuumizwa na kupotea kwake?

January Makamba anasema "MO ANA FAMILIA INAHITAJI UWEPO WAKE" ni sahihi kabisa, kama ambavyo umetumia ukurasa wako wa Twitter kuonesha kuumizwa huku, nilifikiri ungetumia ukurasa huo kuonesha umuhimu wa kupatikana mwenyekiti wa halmashauri ya Kibondo, Simon Kanguye ambaye hadi sasa hajawahi kupatikana, mwanaCCM mwenzako.

Godfrey Lwena Kule Kilombero alivamiwa na watu wanatajwa kuwa majambazi. Alikuwa Diwani kipenzi cha watu wa kata yake ya Namwawala kule Kilombero, alichinjwa, alikatwakatwa na kusasambuliwa. Sijawahi kusikia ambayo yameendelea baada ya hapo. January MAKAMBA hakuwahi kusema kuhusu hili, au Lwena yeye hakuwa baba kama 'MO' labda?

Tumefika hatua watanzania tunasema Tanzania sio salama tena, lakini mbunge wa CCM anakwenda kwenye vyombo vya Habari kwa kujiamini kabisa na kusema "MATUKIO YA KUTEKWA, KUPIGANA RISASI NA UHALIFU MWINGINE NI MATUKIO YA KAWAIDA SANA, BADO TUPO SALAMA TANZANIA". Tena mbunge huyo anaeleza kwa kujirudia-rudia kwa 'serikali ipo imara na haijashindwa'.

Wakati huyu mbunge wa Singida magharibi, Elibariki Kingu (CCM) anasema vitendo vya UTEKAJI na KUPOTEZANA nchini kwetu ni kawaida, na hata KUCHINJANA na KUPIGANA RISASI, alisahau TUNDU LISSU anauguza majeraha yake akiwa Belgium kwa kupigwa risasi Zaidi ya 38 mchana kweupeee, na waliomshambulia hawajawahi kutajwa.

TUNDU Lissu ni mbunge mwenzake. Wanatoka mkoa mmoja wa Singida. Majimbo jirani. Lakini kitu cha ajabu huyu Kingu (magharibi) hajawahi kutoa salamu za pole, kumtembelea Lissu hospitali, kuomba kauli ya bunge, kutaka hata matibabu ya Lissu kugharamiwa na bunge, kuhusu Lissu (mashariki), Kingu anaibuka na kichefuchefu kingine hatari kabisa. Kwamba ni KAWAIDA.

Ben Rabiu Focas wa Saanane, hajawahi kuonekana na kujulikana wapi alipo, hatujawahi kuelezwa wapi alipo mwandishi Azory Agwanda halafu unasema ni KAWAIDA? unajua Salma Said alitekwa ma kusulubiwa na baadae kuachwa? Alphonce Mawazo kapigwa mapanga na shoka, Godfrey Lwena kapigwa mapanga hadi kufariki. Daniel John katekwa na kusulubiwa hadi kifo.

Mtu ambae anajinasibu kuwa mbunge kijana, unajiita kwamba ni mtumishi wa Mungu, unasema umetembea nchi nyingi na kuwa 'innovative' nilifikiri utakuwa 'mtu timamu' sasa na kuitaka serikali ihusike kwa namna yoyote kulinda usalama wa Raia na Mali zao, serikali kwa kutumia vyombo vyake vya ulinzi na usalama, iwaeleze wananchi, wapi ndugu zao waliotoweka wapo na wanarejeshwa vipi uraiani..

Achilia mbali mauaji mfululizo ya KIBITI ambayo yalidumu kwa muda mrefu na kuondoka na maisha ya wati na mali zao kuharibiwa. KIBITI, MKURANGA, RUFIJI na Pwani ilinuka damu na kutamalaki hofu. Baadae mbunge huyu wa Singida Magharibi anasema ni MAMBO YA KAWAIDA? Hawa ni sehemu ya watu waliotufikisha hapa tulipo sasa.

Hivi unapata wapi ujasiri wa kusema uhalifu ni mambo ya kawaida kwenye nchi? Wewe ni kiongozi wa watu gani ambae unasema uhalifu ni suala la kawaida? Kwa kiwango gani unataka serikali ielekezwe kwamba hali ya usalama wa Raia na Mali zao sio salama? wananchi wana hofu na mashaka juu yao.. Kazi ya bunge kwa Serikali ni ipi?

Hii Kutekana-tekana haikuanza kwa MO. Ni dhana ambayo imetoa matunda. Tuliomba watanzania kwa ujumla wetu tufanye mjadala wa kitaifa, kushinikiza serikali kuwa na wajibu wa kwanza kwa raia, kulinda usalama wao na mali zao. Wengine wakasema hayo ni mambo ya kawaida sana. Wakasema "nchi ipo salama Haya ya Kutekana-tekana ni mambo ya kawaida. Hata ulaya yapo" mjadala ukafa kifo cha mende.

Hii tulisema mapema. Utafika wakati, atakuwa hayupo ambaye yupo salama. Sio wanasiasa, viongozi wa Dini au hata wafanyabiashara achilia mbali wananchi ambao wao wanapotezwa kila uchwao kama sindano. Tulipaswa kusimama awali wakati yanatokea kwa wenzetu kama viashiria. Ubinafsi ukatawala wengi kati yao. Tunaadhibiwa

Watakuja wengine hapa na kusema kwanini tunafananisha wanasiasa wanaotekwa na kupotezwa na tukio la "MO" na jibu litakuwa rahisi tu, "HAKUNA NAFSI MBILI KATIKA MWILI MMOJA, KILA NAFSI INA THAMANI YAKE, ILINDWE KWA GHARAMA ZOTE" hivyo, tunavyompigania "MO" ndivyo ilitakiwa tuseme kwa wengine wengi, 'sote sisi ni watanzania, wana wa Adamu'

Ok! Katajwa kutekwa Mohammed Gulamabbas 'MO' Dewji, waswahili wameumizwa, wamesikitishwa sana, lakini wanapopotea waswahili wengine, kumtafuta inabaki kazi ya ndugu na jamaa zake hata polisi hawashughuliki nae. Nchi imetawaliwa na 'double standards' sana. Hatujui hata ADUI yetu ni nani.. Tunaendelea kuukumbatia UBINAFSI ndani yetu.

Leo wanatekwa mabilionea, hadharani Tena kwenye maeneo sensitive. Tunashtuka, swali la kujiuliza sasa; TUMEFIKA VIPI HAPA? NANI AMETULETA KATIKA ENEO HILI? NANI AMBAYE ATATUNASUA KUTOKA HAPA? Tusiangalie tulipo-angukia, tuangalie sehemu tulipojikwaa.. Kutekana-tekana ni uhuni wa kishamba tu.

Tuendelee kumuombea Mohammed Guramambasi "MO" Dewji apatikane salama, ni mtu muhimu, nje ya ubinadamu wetu, ni mfanyabiashara mashuhuri, apatikane, ni muhimu!

#MMM, Martin Maranja Masese
 
Mbn naskia et ile kahaw ya bkb ya magend....Ni ya huyu bwana Simba ???
 
Matukio ya kawaida maana yake ni matukio ambayo hutokea sana eneo fulani au matukio yaliyopangwa.
 
Duuh
 
Ki ukweli vyombo vyetu vya ulinzi lazima viache kufanya kazi kisiasa siasa viwe HURU na siyo kuongonzwa na ma RC na ma DC!!!!
 
RC Makonda amesema lazima MO atapatikana kwahiyo IGP lazima apate tabu sana kumtafuta.
 
"Kutekana na kuuwana ni kawaida, pia kupigana risasi. Pia siyo lazima kila anayempiga mtu risasi akamatwe, kule marekani, hata wale waliompiga risasi JFK hawakukamatwa". Tuko salama kabisa chini ya amiri jeshi mkuu jiwe, tutembee vifua mberee.
 
Mpumbavu mmoja ambaye kashiba maharage huko ccm anasema ni mambo ya kawaida.

Kwangu mimi hata kuku kuibiwa tu si jambo la kawaida, kwanini kuku wangu apotee kwa mazingira yasiyofahamika?? Sembuse binadamu??
 
Back
Top Bottom