Hahaha bwashee hao wapumbavu wakuitwa walokole, kwa sasa nitajikita nao vilivyo😀Sisi walokole hatuna shida na wewe bwashee,ila tunakuomba tu umrudie Yesu ili uupate uzima wa milele,karibu kwenye jumuiya yetu Jumapili huku Nzega vijijini.
Mkuu, tatizo sio kwamba ulikuwa unatania, tatizo ni mipaka ya huo utani. Jukwaa la jokes sio leseni ya kuwabeza au kuwadharau watu.Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani .
Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔
Mara jf kuna majamaa ni mabwabwa ,na wengine mpaka wanatajwa kwa I'd zao , mara kuna majamaa jf wanaishi kwa mashemeji , na wengine hawana lolote wameolewa .
Sasa juzi kwa hali ya utani , tena jukwaa la jokes nikatoa uzi kuwa jf hakuna pisi, hii ikawa nongwa mno na ikasindikizwa na kashfa na chuki kubwa mno na manyuzi kibao😅
Sasa hapa nashindwa kuelewa hizo emotions zote zimesababishwa na nini mpaka povu likamwagika kiasi kile 🤔
Niweke sawa , sijitetei kwa lolote , wala sina wakuomba msamaha hapa , dhumuni langu ni jokes tu kama nilivyo ponda masela wenye vitambi pia 😅Mkuu, tatizo sio kwamba ulikuwa unatania, tatizo ni mipaka ya huo utani. Jukwaa la jokes sio leseni ya kuwabeza au kuwadharau watu.
Umesema ulikuwa utani, sawa. Lakini kama uliwakwaza watu kiasi hicho, badala ya kushangaa “kwa nini povu?”, jiulize kama utani wako haukuvuka mipaka.
Na kujitetea leo kwa kusema “nilikuwa natania” hakubadilishi maneno uliyoyaandika jana. Si kila kinachoitwa utani kinakosa madhara. 😅
Kule kwetu siha mademu wa bahil mno wa uchi unaweza ukatongoza mwaka bila mafanikioKule tunawatomb,,a mnaojifanya kuoa wachanga nakuona vidume vya kichaga hatuna kazi
Ni udikteta wa ajabu sana kwamba unapaswa kudai eti ni wazuri 😃 nasoma mapovu yao nawaona wajinga tuKesho ngoja nilete bonge la Uzi unaokataa mazima uwepo wa mademu wakali humu.
Demu atakayeubishia Uzi wangu sharti awake picha yake mjongeo na atuambie mahala anakokaa, la sivyo hoja yake ni batili.
Aidha, hao ambao hutokwa na povu waje na uthibitisho wa wazi unaonesha kama JF kweli Kuna pisi Kali.
kabla ya vuli kuna ekari 3 hapo karansi nataka nipande maharageKule tunawatomb,,a mnaojifanya kuoa wachaga nakuona vidume vya kichaga hatuna kazi
Halafu wanatoa povu nasikia ni wa kiume. Hii ndo kusema kuwa nao ndio wale watembeao na vioo kwenye mikoba?! 🤔Ni udikteta wa ajabu sana kwamba unapaswa kudai eti ni wazuri 😃 nasoma mapovu yao nawaona wajinga tu
Sawa mkuu, kama ulikuwa unatania hakuna anayekulazimisha kuomba msamaha. 😅 Hoja yangu ilikuwa tu kwamba jokes nazo zina mipaka. Kumponda mwenye kitambi ni utani unaomhusu mtu binafsi, lakini unapolenga kundi zima na mwonekano wao, ni kawaida baadhi ya watu kuuchukulia kama dharau.Niweke sawa , sijitetei kwa lolote , wala sina wakuomba msamaha hapa , dhumuni langu ni jokes tu kama nilivyo ponda masela wenye vitambi pia 😅
Wakina Bakari Nondo Jr 😁 Uwepo wao ni kama Story za Allien🤣Habari za uwepo wa wapiga nyeto hujasikia mkuu?
Hapana mkuu, uwepo wetu wapiga nyeto n ukweli na mm n mmoja waoWakina Bakari Nondo Jr 😁 Uwepo wao ni kama Story za Allien🤣
Yeah nakubali mno , ila niliyotoa ni maoni yangu tu, na kimantiki vita yote ni kupingana na maoni ambayo ni mali ya mtu binafsi , ndio maana nikabaki kimya kuhesabu idadi ya wapumbavu tuSawa mkuu, kama ulikuwa unatania hakuna anayekulazimisha kuomba msamaha. 😅 Hoja yangu ilikuwa tu kwamba jokes nazo zina mipaka. Kumponda mwenye kitambi ni utani unaomhusu mtu binafsi, lakini unapolenga kundi zima na mwonekano wao, ni kawaida baadhi ya watu kuuchukulia kama dharau.
Ushawakojoza wadada wa JF bhana, hakuna cha jokes wala nn 😎Niweke sawa , sijitetei kwa lolote , wala sina wakuomba msamaha hapa , dhumuni langu ni jokes tu kama nilivyo ponda masela wenye vitambi pia 😅
Nyeto ni jambo jema kwa kila mtu mwenye akili timamu 😎
Warithi wangu hawa, safi sana 💪
🤣Membaz watatu wa CHAPUTA wakiwa katia harakati za kupandisha zao ashiki ili walirushe Moja goli 🔥🔥