Haya maigizo ya ACT Wazalendo ni maigizo ya watu wazima au watoto wa darasa la pili?

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,260
2,000
Kwa maigizo haya ya ACT wazalendo basi kufikia 2020 chama kitakuwa kimekufa rasmi.

Soma majibizano yao ya GROUP LAO LA WATSAP ya Viongozi hao eti kama mkakati wa kuwahadaa watu baada ya kuona wanakimbiwa ili kujinusuru. Utoto mtupu na hakuna mtu makini anayewza kukaa ktk upuuzi huo. Hakika ACT siyo chama. Majibizano yao yalikuwa hivi:

[18/12 2:16 am] ‪+255 717 047 574‬: Ha haaa

Shikamoo Mogha

Nicopy hii namimi nibadili jina nini
[18/12 5:29 am] ‪+255 719 457 821‬: upo
[18/12 7:22 am] ‪+255 655 199 193‬: Ameen mogha
[18/12 7:25 am] ‪+255 713 465 781‬: ACT - wazalendo imeendelea kukaa kwenye media kwa muda sasa jina la chama linakua likitajwa kila mara na kila siku waendelee kujitoa chama kiendelee kusikika
[18/12 7:25 am] Mwigamba Act: TAARIFA KWA UMMA: Mimi SAMSON MWIGAMBA ambaye nilikuwa Katibu Mkuu na mmoja waanzilishi wa ACT-Wazalendo, kwa heshima kubwa naomba kuwajulisha wanachama wa ACT na umma wa WATANZANIA kuwa kuanzia leo tarehe 18.12 .2016, Nimeamua KUACHIA uamuzi wangu wa kujiuzulu ukatibu mkuu wa ACT-WAZALENDO ili nipate nafasi ya kukitumikia tena chama nilichoshiriki kukiasisi.
Nieleweke vyema nimeamua hivi kwa radhi ya moyo wangu bila kushinikizwa na mtu yeyote isipokuwa tu kwa kuiga mfano bora wa Prof. Lipumba. Napenda kuomba radhi kwa wote wale niliowakwaza kwa kwa njia yoyote ile kwa uamuzi huu ambao bila shaka wanafanana na Maalim Seif. Mimi ni mwanadamu si mkamilifu hivyo naomba tusamehene sisi sote tuko ndani ya ujenzi wa chama na mama Tanzania.
Ahsanteni sana!
[18/12 7:28 am] ‪+255 718 502 629‬: Hahaaa watupie jf
Ili atakae kurupuka aaibike
[18/12 7:28 am] ‪+255 713 465 781‬: Hiyo ni official statment tuipeleke mbele
[18/12 7:28 am] ‪+255 759 448 154‬: Baada ya muda utaikuta nje ya hili group.
[18/12 7:28 am] Mwigamba Act: Ha ha ha haaa! Ni utani bana msipeleke!!!!
[18/12 7:29 am] ‪+255 713 465 781‬: Inawezekana ishaenda nje tayari
[18/12 7:30 am] Mwigamba Act: Aaaaa! Ina maana na ya Wiston imeenda?
[18/12 7:30 am] ‪+255 782 080 952‬: Hahaaaaaaa
[18/12 7:32 am] Mwigamba Act: Kama statements wanaotoka wamezidi tutafute statements za wanaorudi basi!
[18/12 7:34 am] ‪+255 768 852 824‬: Kuna jamaa anaitwa Paul Wazir naona anatoa taarfa za hovyo fb ila najitahid kukabiliana nae nikiwa na John Marwa
[18/12 7:36 am] Mwigamba Act: Mpuuzi huyo. Alikuwa Mkt wa Jimbo la Kinondoni akataka kuwa mkt wa mkoa pia akakosa ndo ikawa nongwa!
[18/12 7:38 am] ‪+255 686 156 345‬: Mwigamba mzima?
[18/12 7:38 am] ‪+258 86 615 6425‬: Good
[18/12 7:39 am] ‪+255 768 852 824‬: Kumbeeee.....Sasa jana alpost Zitto kuwapgia magot chademe....Leo kapost kuwa viongoz wa ACT wameendelea kuhama kamtaja Gwanchele,Afande,Mchange n.k mie nmemkatalia na kumwambia Afande na Gwanchele cyo viongoz
[18/12 7:39 am] Mwigamba Act: Mzima Mzalendo. Habari ya leo?
[18/12 7:40 am] Mwigamba Act: Mjinga tu. Mwache ahangaike ACT inasonga mbele.
[18/12 7:40 am] ‪+255 756 924 750‬: Wasalam wazalendo,Mwenyekiti wa ccm kata ya bisumwa,Musoma Mara,amejoin ACT.
[18/12 7:41 am] ‪+258 86 615 6425‬:
[18/12 7:41 am] Mwigamba Act: Kaila enezeni taarifa kama hizi kwenye magroup huko wahuni wanakoandika upuuzi wao huko!!!
[18/12 7:43 am] Mwigamba Act: Mwenezi tupe taarifa kamili. Anaitwa nani, alikuwa na nafasi gani ndani ya CCM na ndani ya serikali ya mtaa, amejiunga lini na ACT na kasema maneno gani wakati anajiunga nasi!
[18/12 7:43 am] ‪+255 768 852 824‬: Kweli kabisa mbaya zaid hajui kutetea hoja zake....Eti anasema afande alkuwa akitembea na viongoz wa chama kila mahal nikamuuliza kutembea na kiongoz ndo umekuwa kiongoz?? Kashindwa kujbu....Nikamwambia nenda kaish mahakaman halafu kuwa na urafik na hakimu labda utakuwa hakimu
[18/12 7:45 am] ‪+258 86 615 6425‬:
[18/12 7:56 am] ‪+255 756 924 750‬: Sawa mkuu,nilikuwa nae juzi nikampa kadi,anasema hana matumaini tena na nchi hii kukombolewa na chama cha mapinduzi isipokuwa ACT,kanambia ccm wamjua anahathali mno kisiasa na ndiyo wakampa umwenyekit wa chama wa kata,ila anasema imani kwa chama hicho imekatika,kaniomba kofia na tshet ya cha nikampa akavaa kofia palepale. Yeve ni mlinzi kampuni ya halotel na nitakua nae leo badae wakat fulan.jina lake nitaangalia nikifika kazin kwangu.kaniomba niende bisumwa kwa ajiri ya wengine nimekubali kwenda
[18/12 7:57 am] ‪+255 767 681 302‬: Mwigamba wewe umeua mzalendo
[18/12 7:59 am] Mwigamba Act: Nilikuwa natania Mzalendo. Naona statements za kuondoka zinawatia kiwewe nikaamua niwachekeshe kidogo.
[18/12 8:03 am] ‪+255 686 156 345‬: Nzuri za siku?
[18/12 8:03 am] ‪+255 686 156 345‬: Malembe jr niite huko fb kwa wino wa blue
[18/12 8:05 am] Mwigamba Act: Ha ha ha haaa! Haya mkuu.
[18/12 8:20 am] ‪+255 655 199 193‬: Safisaaaaaaaana katibu
[18/12 8:31 am] Mogha Act: TAARIFA KWA WANANCHAMA WOTE mimi Zitto Kabwe Ruyagwa mbunge wa kigoma mjini na pia kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO napenda kuwatangazia kuwa leo tar 18.12.2016 kwa dhati ya moyo wangu napenda kujivua nafasi zangu zote nje na ndani ya. hama na kuwa mtiifu wa chama cha EFF South Africa kuhakikisha nashiriki kumuondoa Jacob Zuma kisha ndio nirudi bongo nikiwa na Malema kushiriki kumkimbiza Magufuli..Naapa kukitumikia chama changu hiki cha Eff kwa dhati .
[18/12 8:32 am] Mogha Act: hii kampeni ta kujitoa tuigeuzeni utani tupostini utani wa namna hizo kila maeneo ili tuwavunje moyo wanaodhani wanaweza kutuvuruga
[18/12 8:32 am] Mogha Act: kampeni yetu tuipe jina la [HASHTAG]#TeamSibanduki[/HASHTAG]
[18/12 8:33 am] ‪+255 768 852 824‬: Sawa
[18/12 8:34 am] ‪+255 767 617 167‬: Hiii ya moga kweli
[18/12 8:35 am] Mogha Act: tuumanishe umma kuwa huu mchezo tumeshaujua na sisi ndio tunazidi kupata nguvu zaidi. tuitumie kama utani kivyovyote kila sehemu ili wasipate muda kuzungumziwa
[18/12 8:36 am] Mogha Act: kwa mfano hio ya mwigamba iko babkubwa sana
[18/12 8:37 am] ‪+255 767 617 167‬: Sasa hivi utaona nje act wazalendo wapanga mkakati wa kukiyania chama chao.kuna watu wepesi humu!!!!!???
[18/12 8:37 am] ‪+255 767 617 167‬: Kukitania
[18/12 8:51 am] ‪+255 768 955 072‬: *TAARIFA KWA UMMA*

Chama Cha Wazalendo(ACT- UDSM),
Leo tarehe *18/12/2016* kinawataarifu na kuwakaribisha kwenye mkutano wa Chama Tawi Chuo kikuu Dar (UDSM) Vikishirikiana na vyuo vingine vilivypo Dar.

*MUDA* Saa 8:00 mchana hadi 12:00 jioni.

*MADA* "Wajibu jamii wa Wanachuo katika utetezi wa maslahi ya Wanyonge"- na *Ndg. Ado Shaibu* (Katibu wa Itikadi na uenezi taifa ACT).

Dhana ya uwezo wa kisiasa wa Wanachuo- na *Ndg.Bakari Licapo* (Mwenyekiti wa Ngome ya vijana taifa) pamoja na *Ndg Edna Sunga* (Katibu wa ngome ya vijana taifa ACT).

ENEO: AMMA LODGE ubungo riverside karibu na AZANIA (Unashukia kituo cha hostel).

WASHIRIKI: WANACHAMA WOTE, WANAVYUO na WAPENZI WA MIJADALA YA MAENDELEO.

*WOTE MNAKARIBISHWA*

Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Udsm.
KATIBU
*IDRISA KWEWETA*
0655-243930.

KATIBU UENEZI
HAMAD SAID
*0768-955072*
[18/12 8:54 am] Mwigamba Act: Nasapoti hilo wazo. Na hivyo natoa ruksa kutumia hiyo statement yangu ya utani.
[18/12 8:54 am] ‪+255 752 231 172‬: Habari za asubuhi wazalendo
[18/12 8:55 am] ‪+255 766 929 919‬: safi kiongozi
[18/12 8:58 am] ‪+255 759 448 154‬: Kila la heri ndugu zangu kwenye mkutano huu wa leo. Naamini mtajadiliana vyema ili tupate way forward.
[18/12 8:58 am] ‪+255 768 852 824‬: Nzur kiongoz...
[18/12 8:59 am] ‪+255 768 852 824‬: Hivi kuitoa post humu kwa group na kuiweka fb ,procedure gan zakufanya zapaswa
[18/12 9:00 am] ‪+255 762 928 077‬: TAARIFA KWA UMMA
Ndugu waandishi wa habari,kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kuhudhuria. Mimi Fanuel Sindika,leo trh 18.12.2016,natangaza kwamba najitoa katika shughuli zingine zote na kujiunga rasmi na ujenzi wa Chama changu cha ACT WAZALENDO...Ikumbukwe kwamba nimetumia haki yangu ya Kikatiba yakuwa na Uhuru wa kufanya jambo lolote alimradi nisivunje sheria za nchi...Uamuzi huu nimeuchukua kwa kuzingatia mahitaji ya sasa ya kujenga taasisi imara ,yenye uwezo na nguvu za kuleta mabadiliko tunayoyatamani kama Taifa chini ya misingi ya UTU,UADILIFU na UZALENDO ikiongozwa na itikadi ya Ujamaa wa Kidemokrasia..Siasa safi ndio nguzo muhimu katika maendeleo ya Taifa lolote lile,na siasa hizo ziko ACT..Ikumbukwe kwamba,nimechukua uamuzi huu nikiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na MTU yeyote...Nawaomba ndugu,jamaa na rafiki zangu tuungane katika hili ili tuirejeshe nchi katika misingi yake.
Act Wazalendo,TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.
Fanuel Sindika
Dar es Salaam.
[18/12 9:00 am] ‪+255 762 928 077‬: Siwanataka matamko
[18/12 9:01 am] Mogha Act: safiiii
[18/12 9:01 am] ‪+255 767 617 167‬: Hapo komesha
[18/12 9:02 am] Mogha Act: kwahio [HASHTAG]#TemaSibanduki[/HASHTAG] twendeni na matamko
[18/12 9:02 am] ‪+255 767 617 167‬: Tufundisheni jinsi ya kuziamisha fb
[18/12 9:02 am] Mogha Act: tutumieni sana hilo la Gwiji Mwigamba
[18/12 9:04 am] Mwigamba Act: Habiba unacopy tu unaenda kwenye ukurasa wako wa Facebook unapaste.
[18/12 9:04 am] ‪+255 767 617 167‬: Ok
[18/12 9:07 am] Mwigamba Act: Wangapi mmeshapeleka? Mimi napeleka ya Sindika.
[18/12 9:07 am] ‪+255 762 928 077‬: Ukienda kwenye post FB,unikandamiza,halafu,italeta option ya kucopy,then unafungua WhatsAPP na kupaste
[18/12 9:08 am] ‪+255 768 852 824‬: Eti kile kikao cha viongoz kilichofanyika dar kilihudhuriwa na watu 6?? Maana Paul Wazir karopoka...Nikamwambia ni mwongo na kama anaushahid alete MINITI ZA KIKAO....Naona kashindwa cha kujbu
[18/12 9:18 am] ‪+255 762 928 077‬: Wazalendo bado wapo nchi hii, hata mm nitamshawishi na Mwanahapa turudi ACT wazalendo rasmi maana waliokuwa virus wameshaondoka
[18/12 9:18 am] ‪+255 762 928 077‬: Hiyo ni post ya MTU kwenye group baada ya post yangu
[18/12 9:23 am] ‪+255 762 928 077‬: huuu ni upuuuzi mwingine WA kijinga kumbe hakwenda kusoma Kenya akili za kushikiwa ni balaaaa!
[18/12 9:24 am] ‪+255 762 928 077‬: KM Mwigamba umewakoroga watu huko
[18/12 9:24 am] Zitto Kabwe Act: Nzuri Sana
[18/12 9:26 am] Kitila Mkumbo: Wahamasishe warudi. Na akina Pendo
[18/12 9:26 am] ‪+255 768 852 824‬: Yan huko ni hatar watu wanazid kuchanganyikiwa...Yaan hapa ni mwendo wa hiv hiv maana wao wameamua kutufuatilia mno
[18/12 9:27 am] ‪+255 762 928 077‬: Sawa Prof.
[10:08, 12/18/2016] Batulo: [18/12 9:26 am] ‪+255 768 852 824‬: Yan huko ni hatar watu wanazid kuchanganyikiwa...Yaan hapa ni mwendo wa hiv hiv maana wao wameamua kutufuatilia mno
[18/12 9:27 am] ‪+255 762 928 077‬: Sawa Prof.
[18/12 9:29 am] Mogha Act: twendeni na kampeni hii mpaka upepo huu utulie
[18/12 9:30 am] Kitila Mkumbo: Wanachama tugawanyike katika kata zenye uchaguzi. Kila mtu achague kata aliyokaribu nayo akapambane
[18/12 9:42 am] ‪+255 657 299 225‬: Mimi morogoro. ..
[18/12 9:46 am] ‪+255 717 539 913‬: Pouwa nimekuelewa mkuu wangu
[18/12 9:46 am] ‪+255 719 847 032‬: Eeee bhana. maana hakuna namna
[18/12 9:48 am] ‪+255 719 847 032‬: Kumbe ndiyo maana anawayawaya kama ngiri lililokosa mihogo ya kutafuna!! ☹☹☹☹
[18/12 9:51 am] ‪+255 719 847 032‬: umemnyoosha
[18/12 9:55 am] ‪+255 719 847 032‬: Hapana. Hilo jina lishatumiwa na Airtel. Sisi tuiite [HASHTAG]#teamSitoki[/HASHTAG]
Au [HASHTAG]#SiendiKokote[/HASHTAG]
[18/12 10:04 am] ‪+255 719 847 032‬: eheeeee
[10:16, 12/18/2016] Batulo: Nimeihariri kidogo....


TAARIFA KWA UMMA:

Mimi SAMSON MWIGAMBA ambaye nilikuwa Katibu Mkuu na mmoja wa waanzilishi wa ACT-Wazalendo, kwa heshima kubwa naomba kuwajulisha wanachama wa ACT na umma wa WATANZANIA kuwa kuanzia leo tarehe 18.12 .2016, Nimeamua KUACHIA uamuzi wangu wa kujiuzulu ukatibu mkuu wa ACT-WAZALENDO ili nipate nafasi ya kukitumikia tena chama nilichoshiriki kukiasisi.
Nieleweke vyema nimeamua hivi kwa radhi ya moyo wangu bila kushinikizwa na mtu yeyote. Mimi ni mwanadamu si mkamilifu hivyo naomba tusameheane sisi sote tuko ndani ya ujenzi wa chama na mama Tanzania.

Ahsanteni sana!

[HASHTAG]#teamSiondoki[/HASHTAG]

Source:group lao whatsapp
Yapi maoni yako mwana jf kwa mikakati uchwara ya ACT ili kuwahadaa watz juu ya kujitoa kwa wanachama na viongozi wake?

Rais2020
Rais wa mioyo ya watu
Rais asiyetaka Wananchi kuishi kama mashetani
 

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,260
2,000
Natambua wanachama na wapenzi wa ACT wazslendo wataleta kila aina matusi hapa. Mm nilichokifanya nimedukua tu hizi charting zenu uchwara ili watu watambue Yale mnayopanga nje ya box hayaakisi ACT kuwa chama cha upinzani Bali kikundi cha wanasiasa wanaotumiwa na CCM kuharibu mipango ya vyama vya upinzani kutwaa dola
 

Crucial Man

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
3,406
2,000
Wewe mtoto wa kike hujaacha tu umbea wako? Badala ya kuweka hoja unaleta umbea wa kijingajinga tu. Hivi hauna kazi ya kufanya? Hopeless kabisa
Hahahah ccm b aka team sitoki wamedukuliwa.
Hapo hakuna Chama, Kuna genge la wahuni wapigia deals tu.
Punguza hasira mkuu ndio hivyo tena mshadukuliwa tafuteni mbinu Zingine za kutokea hahahaha hadi aibu, mapovu yame kutokana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom