Sifikiri kama ni mara ya kwanza

Sifikiri kama ni mara ya kwanza

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
60,345
Reaction score
174,636
Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani .

Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔

Mara jf kuna majamaa ni mabwabwa ,na wengine mpaka wanatajwa kwa I'd zao , mara kuna majamaa jf wanaishi kwa mashemeji , na wengine hawana lolote wameolewa .

Sasa juzi kwa hali ya utani , tena jukwaa la jokes nikatoa uzi kuwa jf hakuna pisi, hii ikawa nongwa mno na ikasindikizwa na kashfa na chuki kubwa mno na manyuzi kibao😅


Sasa hapa nashindwa kuelewa hizo emotions zote zimesababishwa na nini mpaka povu likamwagika kiasi kile 🤔
 
Habari za uwepo wa wapiga nyeto hujasikia mkuu?
Screenshot_20261004-192219_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom