APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,048
- 8,628
Hajakatwa huyu kazaliwa mjini.........sio kama wale wa kule Genkuru, Nyangoto au Kemakolele.............Kakatwa huyo.... Poa pole na kibarua kizito
Hajakatwa huyu kazaliwa mjini.........sio kama wale wa kule Genkuru, Nyangoto au Kemakolele.............Kakatwa huyo.... Poa pole na kibarua kizito
Wanawake wa kimeru ni watafutaji sana,wanajuhudi kwakweli ila pia ni wakorofi, wababe sana.... Sura wanazo ila shape hakuna kitu, miguu fitoNisaidie wameru nataka kujitosa huko please
umewasahau wanyiha awa ni wastarabu sana..JAMANI MIMI UZULI NIMETEMBEA KARIBIA TANZANIA NZIMAA ILA UKWELI NI KWAMBA.
KUNA MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA YENYE ROHO MBAYAAA.
MAKABILA YENYE ROHO MBAYA WENYE ITIKADI YA UKABILA NA UDINI
NI WACHAGA, WANYAKYUSA, WAHA, WAPARE,WAKURYA, WAHAYA,WAJALUO, WASUKUMA, WANYAMWEZI, .
MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA WASIO NA ITIKADI YA UDINI WALA UKABILA KUNA
WAZARAMO, WALUGULU, WAKWERE, WAMWERA, WANDEREKO, WAMAKUA WAMAKONDE,
Wanawake wa kimeru ni watafutaji sana,wanajuhudi kwakweli ila pia ni wakorofi, wababe sana.... Sura wanazo ila shape hakuna kitu, miguu fito
All the best
uko sahihi kabisa pia wavivu wa kupika,wanavinyongo mkikosana atakili yameisha ila moyoni hapana naniwaongeaji wazuri sana.waha umesahau kuwa ukimuoa muha nyumban kwako patageuzwa kiwa jalala, choo na damper yaani wachafu hao. Mtoto anaweza kojolea au kunyea bakuli lakini likapakuliwa mboga mida ya msosi. mi simo mae.
Thanks mkuuTafuta mwanamke atakaekufaa kwa sifa na vigezo unavovipenda wewe, sifa za makabila zipo tu (stereotype) unaweza pata mrangi na akawa sio mgawaji.
All the best......
kwenye uongeaji sasa ndio balaa yaani urafikir mdomoni amemeza memory card.uko sahihi kabisa pia wavivu wa kupika,wanavinyongo mkikosana atakili yameisha ila moyoni hapana naniwaongeaji wazuri sana.
Wagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"
Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.
Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.
Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.
Omba usukutane na Mpare Msabato
Ni Bahiri hadi wa nafsi yake
Yani baraaaaaaa
Kwa sababu ni washabiki na wana mapenzi ya dhati kwa chama wakipendacho ila si upendo kwa wagombea kama unavyodhani.MIMI UZULI NIMEZALIWA DAR NIMEKULIA DAR WAZARAMO NIMEKAA NAO SANA NAWAELEWA. VIZULI NI WATU POA SANA HAWANA UKABILA WALA UDINI.
NDIO MAANA WABUNGE WA DAR UKIANGALIAA ......
1.MNYIKA NI MPARE
2.HALIMA. MDEE NI MPARE
3.ZUNGU NI MZUNGU
4.MWITA WAITARA NI MKURYA
5.BONNA KALUWA NI MUHAYA
6.FAUSTINE NDUGULILE NI MNGONI
7.MEYA WA JIJI NI MKURYA
HIVI INGEKUWA WAZARAMO WANA CHONGA SANA IVI UNADHANI WAGENI WANGEWEZA PATA NAFASI KAMA HIZI
Du kwa tabia hizi itakuwa familia zao zinalishwa na wageni wa dar wanao piga kazi kiume sasa makao makuu yakihamia dodoma hakika mtakula chumvi bahari.Makabila ya pwani: wengi wao wanawake wanajua kupika, kujipodoa yani mwanamke wa pwani mguu una vumbi ila uso reception ng'ari ng'ari poda wanja wa kutosha lipstick.
Wanaume wavivu wengi wao hakuna kujishughulisha ye akiamka ni kunywa kahawa na kucheza bao kamaliza kuolewa na mwanaume wa hivi ni hasara
Hivi waarusha ni kabila?Za waarusha, wamasai, wameru zipoje?
Hakika Tanzania tunahitaji mioyo kama hii.Asante kwa hamasa hiyo, Wagogo wenzangu tuchukue hoja ya Evelyn Salt kama changamoto ya kuongeza bidii ya kazi.
Nilishangaa sana pia kuwaona wakicheza huku wakiwa wamevuta nguo zao ndefu za heshima juu na chupi nje wakicheza bila hayaHahaha aaahh, vigodor ndo kwao
Sijui Ndo mnijuzeHivi waarusha ni kabila?
Survival for the fittest,Aaaah wapi katika wakurya 10 mstaarabu mmoja tu tena nae labda wa mjini wakurya wakorofi
Kisbo ndo mpango mzima.usinikumbushe mkuu mwaka 2015 nilipanda kisbo kutoka dar kwenda tbr du lile basi kwa kweli limekaa ka daladala za vijijini, manake tulivyotoka msamvu wakatoa dubwana la pembe karibia na radiator so radiator ikawa inapulizwa na upepo wa nje, ila nashukuru tulifika tabora salama,