Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sio wote n wahuni...n baadh yao...huyu angekuwa mhuni nisingemkuta bikra kwa miaka 25 alionayo na degree zake mbili
Unazingua mkuu demu miaka 25 Tena anatokea huko soya awe bikra sio kweli wewe upiwekewa bikra fake
 
Wanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh

Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri

Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri.

Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa
JAMANI MIMI UZULI NIMETEMBEA KARIBIA TANZANIA NZIMAA ILA UKWELI NI KWAMBA.

KUNA MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA YENYE ROHO MBAYAAA.

MAKABILA YENYE ROHO MBAYA WENYE ITIKADI YA UKABILA NA UDINI
NI WACHAGA, WANYAKYUSA, WAHA, WAPARE,WAKURYA, WAHAYA,WAJALUO, WASUKUMA, WANYAMWEZI, .

MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA WASIO NA ITIKADI YA UDINI WALA UKABILA KUNA

WAZARAMO, WALUGULU, WAKWERE, WAMWERA, WANDEREKO, WAMAKUA WAMAKONDE,
@Bata batani nimekuelewa vizuri sana.
 
Wakurya mnawaonea, sio wakorofi hasa kwa wageni ni mpaka uanze kumchokoza, ni wakarimu sana kwa wageni
 
😂😂ha ha ha mmesahau waluguru wandengereko na wazaramo hawa watu ni pipa na mfuniko characteristics zao ni moja Tu. Wao mafiga matatu ni kawaida kuchimba Nungu Kwao Hakuna choyo. Na ushirikina kwao ni ibada ya kila jumapili au ijumaa
 
Back
Top Bottom