Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Duh!!!
Naona unawachambua kama karanga.
For me. Mama ni Muha na Father mnyamwezi.
Nataka kuoa mwakani sasa nichagulie kabila la kuoa kwa uweledi wako wa kuyafahamu makabila na sifa zake.
Note. Sina mahusiano yeyote na mwanamkee ambae tamuoa, so ndo nataka nitafute mwanamke.
Una umri gani?
 
Survival for the fittest,

yes kwao ujasiri na huo unao uita ukorofi ni means of survival kwa sababu mazingira yao yalikuwa yanachangamoto za kiusalama.

Enzi hizo kama hukuwa na mume thabit familia yenu aidha ihame isalimike au iwe jasiri iishi.

Changamoto ya kwanza ilikuwa UVAMIZI NA UFILISI WA MIFUGO KUTOKA NJE AU NDANI YA MKOA.

kwa hiyo people fought to death because cattle were one of their means of survival.

Second they were constantly attacked wild animals directly or indiretly you want to know why? easy fuata nyuki

But nowadays changamoto hizi zinapungua na taratibu people change their ways and what you just say now just covers their part of history.

Thanks

Still loading...
Mura kwa huyo lugha utawaacha wengi njia panda
 
Kwa sababu ni washabiki na wana mapenzi ya dhati kwa chama wakipendacho ila si upendo kwa wagombea kama unavyodhani.
Kuna baadhi ya vyama hata vikisimamisha swines wanashinda.
hebu fikiria hata wanapocheza simba na yanga mwanamke yu radhi kwenda kwa kiingilio chochote hata watoto wasipokula.
Kweli?
Wazaramo wengi hawajasoma sasa watapataje nafasi ya kuwa viongozi? Ukimkuta aliesoma basi ana bachelor ya computer science ishu laini laini yani..
Ila sisi wapare tuna roho mbaya jamani alafu tunaamini ushirikina. Ukiumwa kichwa tu utasikia sijui nani kaniloga. Alafu tuna wivu sana wa maendeleo na ndio maana wale wanaomiliki mabasi ya mikoani kama ngorika, buffalo, kirumo, mghamba na sharon yani wanajitahidi sana kujikoki lasiivo wanarudi kweny kirikuu
 
Wagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"

Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.

Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.

Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.

Kwani tunatoa sifa za wanawake wa kabila fulani, au kabila lote kwa ujumla? Labda sijaelewa swali. Kwa mfano, wapare wabahili kwisha( wanaume na wanawake), wachaga majivuno kwenda mbele (both), wahaya masifaaa (wote), nakadhalika.
 
Kwani tunatoa sifa za wanawake wa kabila fulani, au kabila lote kwa ujumla? Labda sijaelewa swali. Kwa mfano, wapare wabahili kwisha( wanaume na wanawake), wachaga majivuno kwenda mbele (both), wahaya masifaaa (wote), nakadhalika.
Hata tabia za wanawake na wanaume zinatofautiana
 
Ata me wazalamo nimeish nao... Wako fair sana ata wanawake, ukimwomba hababaish ata kam ni mke wa mtu mrad iwe siri tu bs
Hapo ndo nashangaa mkisema wahaya hawakataagi. Sasa na hilo kabila tuseme wanapenda ngono kama wahaya au?
 
Akutukanaye hakuchagulii tusi.

Wagogo ni wachapa kazi sana hasa kilimo na ufugaji. Changamoto tuliyonayo ni uhaba wa mvua mara kadhaa. Tunaomba serikali iongeze fungu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
Tabia yenu ya kuombaomba bado unaiendeleza hadi kwenye huu uzi chaaa
 
Mpare anapenda kesi sana na mbishi, anaweza kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Ni wabahili ila si wachumi. Mpare kwa ubahili wake akiumwa njaa badala ya kununua chakula atakunywa panadol au diclofenac. Hawa jamaa kwa kununua kesi ndo wenyewe. Kuna bwana mmoja alizulumiwaga akaenda kusoma sheria ili aje kufufua kesi.
Wanapenda ugomvi wa ardhi. Huku kwetu wana gombania maeneovya watu kila siku kesi yaani hili kabila nuksi tupuuuu
 
mademu wa kichaga wana mapenzi ya dhati sana akisema anakupenda ujue anakupenda kweli kweli hawajuagi ku cheat ila kitandani usitegemee kitu kama unaoa oa tuu ila kama unatafuta kiuno feni please hapa sio mahala pake nenda ntwara
Hahahah hamna loloteee eti hawa cheat thubutuuuuu hehehehe
 
Back
Top Bottom