Wewe ndio unae ingekuwa vyema ukamchambua wewe maana unaye kabisaEvelyn Salt nichambulie wahehe tafwazali nataka nizamie kule
✍ Typing...Wewe ndio unae ingekuwa vyema ukamchambua wewe maana unaye kabisa
WEWE SALT UNA USHAHIDI USIO NA MASHAKA WA "KUGONGANA", SALT ACHA HIZO, LEO NI PASAKA. TUMWIMBIE BWANA, ACHANA NA NGONOWagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"
Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.
Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.
Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.
huwajui wanyakyusa wewe . usingeacha kipengele cha uchawiWanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh
Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri
Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri.
Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa
Mie tena ndo niachane na ngono?WEWE SALT UNA USHAHIDI USIO NA MASHAKA WA "KUGONGANA", SALT ACHA HIZO, LEO NI PASAKA. TUMWIMBIE BWANA, ACHANA NA NGONO
Hahahaha bila shaka wewe ni mjita.Wanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh
Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri
Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri.
Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa
Wanyamwezi sio wagawaji sana wa sehem nyeti ?Wanyamwezi : hawa ni kama aina tu ya wasukuma wana tabia za wasukuma ila kwa ushirikina wanyamwezi kiboko, enzi hizo mme hukai hivi hivi hadi mama akutengeneze sijui sasa hivi.
Wachaga: wazuri wa sura, watafutaji, wanaume baadhi wanajitahidi kujali familia, miguu fito, maumbo yao huwa yana makosa ya kiufundi, ila siku hizi afadhali kwa sababu ya intermarriage basi wanazaliwa wachaga wenye maumbo ya kueleweka
Wakerewe: hawa nao kwa kujivuna hawajambo wakati wanamiliki furu tu, kwa ushirikina pia wapo wapo
haya Salt, ningelikutafuta ukathibitisha haya ya ndugu kulalana, bahati mbaya hatufahamiani humu!Mie tena ndo niachane na ngono?
Nina ushahidi wa maneno na picha