Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

Hao wanawake waliotoka familia za kitajiri tz wako wangapi? Wewe kipimo chako cha mtu tajiri ni kipi?
 
Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs!

Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.!

Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra!

Kuwa kwenye mahuasiano ya kimapenzi na mwanamke anyetoka familia ya masikini wa mali na masikini wa akili na fikra ni mbaya sana !

Kwanza familia itataka wakuuzie huyo mke wako kwa mahali kubwa wakiamnini, hizo pesa za mahali zitatua shida zao

Pili kutoka ukoo wao ukiwa kama mtu wenye uwezo basi baada a nfoa jukumu la wakwe ndugu shangazi na wajomba matatizo yao utayabeba wewe, na ukigoma kuwasaidia tayari unahatarisha ndoa yako na mahusiano ya familia yako..

Hivyo basi hakikisha unaona mwanamke anetoka familia tajiri(familia ya watu wenye roho za kitajiri, isiyo tegemezi, isiyokumbatia umasikini) usije ukabebeshwa lawama za kijinga jinga.

At least vigezo hivyo hapo vitakufanya uwe safe katika ndoa za sasa hivi na mahusiano
Inaonekana kwenu nyie matajiri sana mkuu.... Na je unakumbuka kuwaambia dada zako na watoto wa kike wa ndugu zako huko nyumbani watunze bikra zao...... Bila kusahau una miaka mingapi..... Kwa maan unawashauri watu wasioe wanawake masikini, wasioe wanawake ambao sio bikra, wasioe wanawake lalalala...... Umekumbuka kuongea kuhusu upendo wa dhati.... Umekumbuka kuongea kuhusiana na wanaume wanaotoa bikra za ma binti wakumbuke kuwaoa haohao waliowavunja bikra...... Unataka kuwaaminisha wanaume wenzio kua mwanamke tajiri ndio anafaa kwa matumizi ya nyumbani pekee.....Kama ww ni kinara wa kuharibi mabinti za watu acha..... Kama kuna pahala sijaelewa na nmejibu kwa lugha mbaya nisamee sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs!

Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.!

Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra!

Kuwa kwenye mahuasiano ya kimapenzi na mwanamke anyetoka familia ya masikini wa mali na masikini wa akili na fikra ni mbaya sana !

Kwanza familia itataka wakuuzie huyo mke wako kwa mahali kubwa wakiamnini, hizo pesa za mahali zitatua shida zao

Pili kutoka ukoo wao ukiwa kama mtu wenye uwezo basi baada a nfoa jukumu la wakwe ndugu shangazi na wajomba matatizo yao utayabeba wewe, na ukigoma kuwasaidia tayari unahatarisha ndoa yako na mahusiano ya familia yako..

Hivyo basi hakikisha unaona mwanamke anetoka familia tajiri(familia ya watu wenye roho za kitajiri, isiyo tegemezi, isiyokumbatia umasikini) usije ukabebeshwa lawama za kijinga jinga.

At least vigezo hivyo hapo vitakufanya uwe safe katika ndoa za sasa hivi na mahusiano
Mkuu labda nikuambie tu kitu, sisi jamii yetu wengi wanaolewa bikra lakini ndio wanaongoza kuachika,au kugeuka wahuni wa kutupwa.mpaka kufikia hatua wanaume kujuta, nachoona Bora umuombe Mungu akupe mwanamke sahihi.hakuna mwanamke mbaya kama bikra akijua utam wa dushe huwezi mshika utaumizwa vibaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom