Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

Hivi kwanini wanaume walio wengi huwa Ni wabinafsi Sana,cjui wameumbikaje Hawa watu.

Mtu anataka mwanamke asietumika wakati yeye hakuna kitu asichokijua kwa mwanamke,amepitia Hadi na wale wanaofanya biashara ya mwili

Hataki mwanamke anaetokea familia masikini wakati yeye mwenyew kwao kunanukia vumbi. Wakati mwingine Ni vizuri kuwa na misismamo chanya katika maisha
 
Wanwake wengi ndio wanaongoza kwa ubinafsi, hilo liko wazi hata pesa anayoipata kupitq kazi au biashara huqa wanasema kabisa haiusiki kwenye matumizi ya nyumbani .. iwe ni bills au chakula!

Hizo tabia nyingine ni za kihuni tu na sitarajii kama utakuwa tayari kuolewa/kuoa mtu mwenye tabia hizo za kihuni
 
Mara nyingi hutokakana na tabia za waume zao
 
Asilimia kubwa wanaume sio wabinafsi mkuu,

Mimi kusema mwanaume hauna ulazima wakusaidia familia ya mke wako maana sio jukumu lako haimaanishi ni ubinafsi!

Msaada ni hiari lakini watu wengi wamegeuza kanakwamba ni haki yao! Kwanini uteseke kulea familia yako mke na watoto na bado ulee baba mkwe,mke wake au wadogo wa mke wako we unaona hilo ni jukumu lako???????
 
Yaani ulivyoandika ni kama familia zote za kimaskini zipo hivo... point ni kwamba tuoe mabikra hayo mengine sio ya msingi
Familia maskin zina changamoto kubwa san yan unaweza ukapat vihela kidog wakaona wakushushie matatizo na mizigo yote ya ukoo yan unakuwa huendelei mbele kimaisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom