and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,231
- 39,714
Wahaya mnahangaika kujinasua na aibu ya Jasiri fekiGlass proof?
Wahaya mnahangaika kujinasua na aibu ya Jasiri fekiGlass proof?
Nani mhaya? Halafu kwa nini unasema nahangaika? Mimi kuuliza glass proof ndio nahangaika? Utakuwa umelewa wewe sio bureWahaya mnahangaika kujinasua na aibu ya Jasiri feki
Narudia tena. Mzee kajua kuwanyamazisha WahayaNani mhaya? Halafu kwa nini unasema nahangaika? Mimi kuuliza glass proof ndio nahangaika? Utakuwa umelewa wewe sio bure
sure mkuu hiki ni kiwanda kinahitaji kuzinduliwa na makamera kama yoteBajeti yake ni ya kujenga kiwanda kabisa
Kule greenish ipo tu wachaga hawajawahi kushindwa angalia hata Mahekalu yalioachwa na wamisionariNyumba kama hizo sasa kasheshe kwenye kumaintain
Tayari kimezinduliwa tokea janasure mkuu hiki ni kiwanda kinahitaji kuzinduliwa na makamera
Ila japo amekufa atakuwa anaishiLakini amelala tayari hatoamka tena.
Sasa mimi nahusikaje na hao wahaya we una kichaa nini?Narudia tena. Mzee kajua kuwanyamazisha Wahaya
Una wasiwasi na Abdieli na Regina au Benjamin?Hasa kwa waliobaki duniani baada ya Marehemu Kutangulia mbele za haki.
😊😊😊😊We lazima utakuwa mond mwenyewe maana kila uzi ukisemwa kidogo tuu ushafika kujitetea
Ni mbaya sana ambao umesababisha tubakie maskini! Imagine watu kama kina Carnegie, Rockefeller, Ford et al wangekuwa na akili kama hizo, marekani sijui kama ingekuwa wapi.Mimi naifananisha na wivu..husda..chuki..sizitaki mbichi hizi
Kwani ukiwa masikini ndio hutalala!?Lakini amelala tayari hatoamka tena.
Mkuu, hii nyumba moja inazidi utajiri wote wa Diamond.Hii palace ya machame imeonekana na kufahamika kiasi hiki baada ya mzee kufariki, palace za Diamond atazionyesha mwenyewe najua unamjua alivyo.
Unaweza kuhisi natania ila hii comment iweke kama kumbukumbu haitochukua muda mrefu utaiona palace mojawapo utai_review hii comment
Siwezi kubisha kiongozi wala kukubali kwa kuwa siijui thamani yakeMkuu, hii nyumba moja inazidi utajiri wote wa Diamond.
Kibanda Cha muuza vocha
Haaaa haya all the bestni mdogo tu, umri wa kina wadogo zangu
Yani humu wengi wanasoma kureply tu sio kuelewa Yan. manengelo we na ndevu zako. uwe unaelewa