Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Msiba mzito huu.
Wakati tupo njiani kuelekea machame tumetana na watu wanaenda kuzika ikabidi wsimame pembeni na maiti yao waache msiba wetu upite,
 
It is insanity kumlinganisha diamond na mzee Mengi.
If it took mengi more than 60 yrs kujenga nyumba Kama hii kwa utajiri wake mkubwa, jr unadhan diamond kwa miaka Yale 20+ kumiliki huo mjengo wa madale hastahili pongezi? Akijisifia je kakosea?

Kumbuka diamond sio tajiri Kama akina mengi rostam, mo dewj au manji. Yeye no oijana mdogo tu mwenye mfanikio kwenye sekta ya muziki Basi.
Aacha mashauzi ya kujidai kwamba yy ndio tajiri sana, mbona vijana wa level yake kina alikiba wana mijengo mizuri tu lkn hawana kelele za majigambo.
Tunamjadili kwsbb ya majigambo yake.
 
It is insanity kumlinganisha diamond na mzee Mengi.
If it took mengi more than 60 yrs kujenga nyumba Kama hii kwa utajiri wake mkubwa, jr unadhan diamond kwa miaka Yale 20+ kumiliki huo mjengo wa madale hastahili pongezi? Akijisifia je kakosea?

Kumbuka diamond sio tajiri Kama akina mengi rostam, mo dewj au manji. Yeye no oijana mdogo tu mwenye mfanikio kwenye sekta ya muziki Basi.
Diamondi atajenga maana baba yake mengi kaonyesha njia mpe muda to.na mungu ampe umri wa baba yake mzee mengi
 
14. Hata uwe na nini vyote tutaviacha duniani..Vanity upon Vanity...
see this another HATER .

Unataka kusema watu wasitafute maisha bora.?

Huyu bwana anastahili kupongezwa embu tuache wivu.

Kapambana from zero to hero kwasababu hata historia yake wanasema kakulia kwenye umaskini.

Kwani ni nani asiyejua kwamba ipo siku atakufa na ataacha kila kitu?

Ila wabongo tusupojiangalia tunakolekea sio,,,,yani mtu akifa maskini utaskia ...... ''Oooh huyu nae miaka yoote kashindwa hata kujenga kaslopu cha vyumba viwili, kazi mzembe sana''

Mtu akjipanga vizuri tena,,..''Oooh kila kitu ni ubatili tunakufa tunaviacha hata uwe na nini"

Utajiri sio dhambi mkuu.

R.I.P. shujaa
Mengi.
 
R.I.P
1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k

Ilijengwa na contractor wa Israel.View attachment 1092163View attachment 1092164
IMG-20190508-WA0002.jpeg
IMG-20190508-WA0005.jpeg
 
Kwa uzuri wa mandhari ya eneo na uzuri wa nyumba mzee Mengi angekabidhi shughuli siku nyingi kwa wakurugenzi akapumzike na kula maisha ya uzee hapo msituni hata kifo kingeweza chelewa mfika, ila ndio hivyo tena mchaga na hela anaona akiachia watu waendeshe taasisi wataiba... R.I.P
 
Back
Top Bottom