Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,211
- 8,053
Akili za kijiweni hizi mbona kajenga Madale tena unserviyed area?
Diamond platnumz anafanya Show moja ya kimataifa kwa zaidi ya million 35 Hakuna utani katika hili.
Tatizo lako hukuelewa vizuri umekurupuka Si kila wiki anafanya international Shows, Show mbili tu alizozifanya South korea na Oman hela yake wewe mpaka unakufa hutowahi kuimiliki nauhakika huo hata kama umeajiriwa wizara ya fedha otherwise ukadange UK