hujui unachoongea kijana, unasoma shule gani? Majina ya hizo shule huwezi linganisha na shule unayosoma nasikia huko mnakula kwa bufee, madarasa yana ac
Shule yangu mkwawa, bweni Makongoro West , headmaster Mr. MBAO, second Mr Tende, Wali maharage kwa mzee Chuwa na Nelkon.
RIP Nelkon.
lyamungo secondary school mbona haipo.........ni moja ysa shule za zamani nimeshuhudia mtu amemaliza mwaka 1963 academic master alikuwa ananionyesha cheti chake bado hajaja kukichukua na bado kimehifadhiwa.
Ni kweli sijui ninachoongea. Maana watu mnapiga story za 1980 wakati wengine hata tulikuwa hatufikiriwi kama tutazaliwa.
Ila nimepata somo kubwa sana. Kama wanafunzi wa secondary wa miaka ya 70 na 80 tunao humu Basi waliosoma miaka hiyo wakati hizo shule zinatamba watakuwa ni watu ambao kwanza hawana akili, watakuwa na upunguani pia wamepigwa kimaisha. Haiingii akilini mtu usome miaka hiyo na ukilinganisha na participation yenu hapa JF inaonyesha dhahiri MAISHA MAZURI Yamewapitia pembeni. POLENI SANA TENA POLENI SANA SANA
SASA NIMEELEWA KWANINI JF WENGI HAMUIPENDI CCM SABABU MNAIJUA NDANI NJE TANGU KUANZISHWA KWAKE MLIPOPITIA NA MLIPO LEO.
Poleni sana, yote maisha. Ila from today muwe makini coz nimeshaona wengi humu VIBABU ilsa nyuma ya keyboard mnaact kama vijana. JIKUBALINI Ili sisi vijana wa kizazi cha leo tujifunze kwenu.

na ww ni kilaza utaiachaje njombe boys..njoss ina miaka zaidi ya babu yako mkuu
Mkuu mbona wew ni km Intake yetu ivii!! mwanyigu apo mkuu wa shule apa dengeya malez apo ngimba uku shura na chula. Nouma sn tunakula 'katala'. katoka mwanyigu akaja Mwita zen tukamaliza na mama zenda