Shule bora za Serikali, enzi hizo

Shule bora za Serikali, enzi hizo

Nakumbukuka nliongoza interview kwenye kundi la waliosoma shule hizo

halafu hao ambao hawakusoma shule hizo ndio wanamaisha mazuri kuliko nyie
 
nimepita kantalamba boys ila nakataa usemi wako wa kugeralize ambao hawajapita huko ni vilaza kupitia Albert Einstein “Everybody is a
genius. But if you judge a fish by its
ability to climb a tree, it will live its
whole life believing that it is stupid.”
The question I have for you at this
point of our journey together is,
“What is your genius?”
 
...kaangalie kwenye matokeo ya form six ya mwaka jana au juzi nadhani hakuna hata moja ya hizo kwenye 50 bora. Ilboru ni ya hamsini na tatu na ndo inawaongoza Wa serikalini. Ingawa Mimi nimo katiyazo, hamnamo kitu anymore....

acha utani ww! mzumbe ni ya 14!!!!
 
Ni kilaza hasa, wapi Ndanda secondary, Mtwara technical, Mtwara girls, Masasi girls.

Ndanda kasoma Benjamini Mkapa, Masasi Girls Speaker wa Bunge Anna Makinda, Anna Abdalla na mawaziri wengi sana. Mtoa mada kataja shule hata zilizojengwa baada ya uhuru (za kata) ameacha zenye historia kubwa kwa nchi.
 
Nilisoma Mawenzi ila nil in gala Gaza mbayaaaaa demu Wa so called cream ya msalato.
 
Nakumbukuka nliongoza interview kwenye kundi la waliosoma shule hizo

halafu hao ambao hawakusoma shule hizo ndio wanamaisha mazuri kuliko nyie
maisha ni kitu kingine ndg. umesahau miaka ya kati hapa watoto wa wenye nazo walikuwa wakifeli wanaenda uganda wakirud full english wanashikwa mikono hadi ofcn wanapiga kazi?
 
lyamungo secondary school mbona haipo.........ni moja ysa shule za zamani nimeshuhudia mtu amemaliza mwaka 1963 academic master alikuwa ananionyesha cheti chake bado hajaja kukichukua na bado kimehifadhiwa.
 
Unazeeka vibaya, umesahau JF inaweza kuwa na members zaidi ya 30% ambao wamesoma kwenye shule zinazoitwa ST. E.g St.Hassan, ST. Mariam, ST. Joseph, ST. Mwiru etc. wote hawa unawaona vilaza? Waalimu wengi wa vyuo vikuu bongo hapa wamesoma kwenye hizo shule.
 
O leve azania...adv ndanda...mbona siioni ndanda wakati nilienda na one ya 9......
 
Katika hizo shule ulizotaja kuna hata moja ada inazidi milioni? Unaipima akili kwa kusoma shule za bei rahisi. Badilisha title ya thread yako IWE KAMA UMESOMA KATIKA SHULE HIZI BASI WEWE NI MASKINI.

Wajanja waliosoma Loyola, Cambridge , St. Marrys, Makongo, Jite ya enzi hizo, St. Anthony ya miaka hiyo, FEZA boys na nyinginezo nyingi.

Hizo shule ulizotaja hakuna chochote cha maana zaidi ya kujifunza kunywa MATAPUTAPU katika umri mdogo.

KIPIMO HALISI: Angalia tuu mlivyojazana humu JF lazima mtakuwa na kasoro tuu. Au MAPIMBI SQUARE

wewe hujaelewa,hizi nishule tulizo soma sisi kaka zako enzi hizo.
yaan kipindi hicho shule zilikua ndo hizo,
hapa bongo ilikua ni jangwani,tambaza,azania,zanaki na foridhani.na st antony.
 
Mleta maada zingatia kuwa vitu hubadilika in time and space.
Shule bora za wakati huo haziwezi kuwa za sasa
 
Back
Top Bottom