Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Unazeeka vibaya, umesahau JF inaweza kuwa na members zaidi ya 30% ambao wamesoma kwenye shule zinazoitwa ST. E.g St.Hassan, ST. Mariam, ST. Joseph, ST. Mwiru etc. wote hawa unawaona vilaza? Waalimu wengi wa vyuo vikuu bongo hapa wamesoma kwenye hizo shule.
Hakuna St.Hassan mkuu!,labda unibabadulie vizuri,maana ninachokojua mimi kule kwa mama wa kambo huwa hawaamini mambo ya Sainthood.