Shule bora za Serikali, enzi hizo

Shule bora za Serikali, enzi hizo

Siku hizi kuna
Tia moyo seco
Penda moyo seco
Moyo mwema seco
Tujitahidi seco
Tumaini jema seco
Mungu ni mwema sec
Atupendae sec
Tumain letu sec
Haya ndo majina ya shule zetu zileeee
 
Acheni utani hizo ni shule bora za enzi hizo, enzi ambayo serikali ilikuwa inajali elimu....

Poor you!!

Ijali elimu waliokuwa wanamaliza form 4 hawafiki hata laki moja kati watoto zaidi ya milioni wanaomaliza primary!!!
 
Shule yangu ya Nursery imekua Institute of Judicial Administration (IJA) Lushoto back then kikijulikana kama Chuo cha CCM then nikasoma Magamba Boys ambayo sasa na yenyewe ni Chuo Kikuu Sebastian Kolowa Memorial University (Sekomu)
 
Apa Tz shule ya Boys ni moja tu nayo ni SONGEA BOY'S
Afu inakuaje madem wetu wa TAMSALA(SONGEA GIRLS) hujawaweka kweny list yako?? Wew ndio Kilaza mkuu
 
afu badaye ulete thread ya vyuo vikuu maana unaleta sifa za kijinga na shule zako za fangasi.
 
Khaa!! Kama ukilaza ni kunywa uji usio na chochote pamoja na maharage yenye wadudu hujakosea
 
Labda kama unazungumzia waliosoma 1990s kurudi nyuma lakini kwa hii list yako ni fake.

Mfano matokeo ya form 6 yaliyotoka juzi hiyo Kwiro ipo kwenye shule 10 zilizofanya vibaya zaidi kitaifa.

Ungeandika waliotoka na div 1 ya SCIENCE miaka hiyo ya 1990s kurudi nyuma ni vipanga ningekuelewa otherwise we mwenyewe ni kilaza tu.
 
Siku hizi kuna
Tia moyo seco
Penda moyo seco
Moyo mwema seco
Tujitahidi seco
Tumaini jema seco
Mungu ni mwema sec
Atupendae sec
Tumain letu sec
Haya ndo majina ya shule zetu zileeee

Benjamin William Mkapa Second School!
Duh!
 
Poor you!!

Ijali elimu waliokuwa wanamaliza form 4 hawafiki hata laki moja kati watoto zaidi ya milioni wanaomaliza primary!!!
Ona shule za kata zinavyotuharibia elimu...wewe elimu ni wingi wa wanaopita shuleni, maana wanapita tu hata hawaelimiki......unapata engineer asiyejua kitu bado unaita elimu...pole sana.
 
...hahahaa Njoss ya lini ? nawakumbuka akina dengeya mwanyigu and team. Msitu wa ndovu, golani, Dom six.....

Mkuu mbona wew ni km Intake yetu ivii!! mwanyigu apo mkuu wa shule apa dengeya malez apo ngimba uku shura na chula. Nouma sn tunakula 'katala'. katoka mwanyigu akaja Mwita zen tukamaliza na mama zenda
 
Kabla kina Mulugo hawajazivuruga hizo zilikuwa shule bora hasa miaka ya 80 na 90 na anayechaguliwa alikuwa kweli ana uwezo.
 
Apa Tz shule ya Boys ni moja tu nayo ni SONGEA BOY'S
Afu inakuaje madem wetu wa TAMSALA(SONGEA GIRLS) hujawaweka kweny list yako?? Wew ndio Kilaza mkuu

Upande wangu namshangaa kutowatendea haki madem zetu Wa Korogwe girls.
 
Back
Top Bottom