SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Nyundo Kavu, Jan 18, 2012.

 1. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  MSANII wa filamu ambaye pia anang’ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
  Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya.
  “Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.
  “Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha,” alisema Shilole.

  SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Yupo kikazi zaidi! lakini kazi ya ukahaba Bongo inalipa sana!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Aaaah Shilole Shilole....mtoto kutoka Igunga, Tabora.
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Sasa tumueleweje, anatafuta mume au anatafuta mkombozi (Mtu wa kumkomboa katika dhiki alizonazo, regardless kama anampenda)...
  Haya mambo ya kupenda kuolewa kwenye mkwanja yamewafikisha wengi pabaya.

  RIP Amina Chifupa...
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ana uzuri gani?
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Duuh kweli hyo ni mikakati ya kikazi..
   
 7. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kah!huyu dawa yake mtungo 2 kama...........,UCHANGU 2 UME MJAA,Mx
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  safi Shilole...utawaambia nini wajukuu zako?
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtaani kwetu kuna akija Shilole kam 100 hivi, njooni muwaone.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Lakini wanawake wa siku hizi wa Bongo wengi wao ndio wanamitzamo kama ya hako kabinti.
  Bora yeye kawa muwazi, sio mnafki.
   
 11. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  atasema kuwa K yangu imesuguliwa paka imeota sugu,uki ingiza 2 umeacha nyama,Mx
   
 12. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pale uwanja wa fisi,Mx
   
 13. T

  TUMY JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona vyaelea jua vimeundwa.
   
 14. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  asa mie siajelewa kitu ki1, anafanya muziki au anauza penzi. Nisaidieni picha yake, simjui mtu huyu na uceleb kaupatia wapi. Kama ni mfanyabiashara wa ngono jadidifu tujue
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  cheki humu!!!!! zingatia 3:16, 3:48, 6:14,
  Wengine ugonjwa wetu huuuuuuuuuu, anapatikana wapi jamaniiiiiiiiiii?

  Msikilize anaongea nini kwenye 5:07, jamanii mimi hoiiiiiiiiiiiiiii

  [video=youtube_share;5_qlHwSxsbk]http://youtu.be/5_qlHwSxsbk[/video]
   
 16. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Biashara bila matangazo haiwezi fanikiwa,
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanaume mtakoma karne hii. . .
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Wala hakuna cha kukoma wala nini!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mtakoma sana, vidola vyenu vya mabox na vijisent vya kula vumbi lazima vipukutishwe kama majani.
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo anauza? khaaa
   
Loading...