Shamira Mshangama aliyetoa hoja ya MKE kulipwa kwa kazi za ndani ana upeo mdogo wa kufikiri. Mke kulipwa ndio kutamfanya awe Housegirl haswa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
SHAMIRA MSHANGAMA ALIYETOA HOJA YA MKE KULIPWA KWA KAZI ZA NDANI, NI MSOMI MWENYE UPEO MDOGO WA KUFIKIRI; MKE KULIPWA NDIO KUMFANYA AWE HOUSEGIRL HASWA"

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nilisikitika Sana nilipopata hoja ya huyu Binti, unajua mara ya mwisho kumuona SHAMIRA MSHANGAMA ilikuwa Wakati namaliza Mwaka wa mwisho pale chuo kikuu cha Dar es salaam, yeye akiwa anagombea u - vice President, Daruso. Nilimuona na Binti anayejiamini na mwenye uwezo wa kujenga hoja, tangu akiwa chuo alikuwa mwanaharakati.

Lakini sikujua kuwa anauwezo mdogo katika vipengele vya mahusiano hasa ya Mapenzi na Ndoa. Kupitia ujumbe wake wa kutaka iundwe sheria ya kuwataka Wanawake walioolewa Walipwe Mishahara na Waume zao, Kwa kile alichokiita kuwa Wake sio housegirl. ATI kazi za ndani kama kupika, kuosha vyombo, kufua, na kazi zingine Mwanamke anapozifanya zinamgeuza kuwa Housegirl, au Kwa Sisi wataalamu tunaita Housemaid au House manager (HM). Jambo ambalo ni ufinyu wa Akili.

Kwanza hakuna hiyo sheria na haitakuja kutokea sheria ya namna hiyo Duniani. Kwa sababu nitakazozieleza hapo Chini.

1. Shamira hoja yake imemdhihirisha kuwa Hajui nini maana ya Mume, MKE na housegirl. Hajui!

2. Shamira hajui kuwa kuwa MKE au Mume sio kazi. Ila kuwa Housegirl ni kazi.

3. Shamira hajui majukumu ya Mume na Mke ndani ya Ndoa iwe kiutamaduni, kidini na kisheria. Tena Shamira ni Msomi WA ngazi ya degree, ni ajabu Kwa Msomi WA ngazi ya degree kushindwa kujua majukumu ya Mume na mke ndani ya familia.

4. Shamira hajui kuwa Housegirl ni lazima alipwe Kwa sababu Ile ni kazi. Na zipo sheria zinazosimamia Ajira zao, Mishahara Yao Ipo specific, mikataba Yao Ipo. Na Kwa kawaida hakuna mkataba WA kudumu wa Housegirl.

5. Kitendo cha MKE Kulipwa automatically kinamfanya kuwa Mfanyakazi au kijakazi, na Sifa ya kuwa MKE inakufa automatically.

Hilo Shamira halijui.
Mke au Mume kufanya majukumu yake akalipwa inaondoa Sifa ya kuitwa MKE au Mume. Mfano, jukumu namba Mbili la Mume ndani ya nyumba ni Kuilinda familia yake, lakini Mume halipwi Kwa kuilinda familia ndio maana haitwi mlinzi ingawaje ndani ya Mume kuna jukumu la ulinzi.

Au jukumu la mke ndani ya nyumba ni pamoja na kumstarehesha Mumewe kimapenzi, lakini halipwi, na kama atalipwa Kwa jukumu Hilo basi automatically Sifa ya kuwa MKE inakufa na anapata Sifa nyingine ambayo ni Kahaba.

6. Mke ni Msaidizi wa Mume, hapohapo anakuwa Mama wa Familia.
MKE kumhudumia Mume na watoto ni jukumu lake kufanya hivyo Kwa sababu Haki na halali na NI miliki yake. Huwezi wafulia nguo Watoto na kuwapikia Watoto na Mume wako alafu utakwe Kulipwa, wewe ni chizi nini.
Mtu analipwa Kwa kitu ambacho sio chake ndio hao Housemanager. Kuwa Housegirl inamaanisha wewe sio mmiliki na bila Shaka unamilikiwa, ukitaka kuwa Housegirl (ulipwe) basi subiri Mumeo Aoe MKE mwingine ili wewe ulipwe Kwa kazi ya Housegirl.

7. Kama ni kutaka kurahisisha kazi za nyumbani ni jukumu la Mume na Mke kujadili suala Hilo, kulingana na kipato chenu.
Kwa mfano mnaweza nunua Mashine za kurahisisha kazi kama Mashine za kupika, kufua, kufanya Usafi n.k. au mtafute Housemaid au Housekeeper atakayesaidia kazi hapo nyumbani. Lakini kamwe Mume hawezi kumlipa MKE au MKE hawezi mlipa Mume Kwa jukumu lake la kifamilia.

Wasomi kama kina shamira ni kielelezo tosha cha wasomi wenye Upeo mdogo ambao Elimu haikuwakomboa, ni Watu wanaofikiri kama Pua zao zilivyoangalia Chini. Hawaoni nini kitatokea Mbele. Hawaoni matokeo ya kile wanachokisema au kukitoa kama hoja.

Athari za mawazo na hoja kama hii ni kama ifuatavyo;

1. Wanawake kugeuzwa Makahaba, mahawara na Ma- Housegirl.
Nipe mapenzi nikulipe, huo ni ukahaba.
Nifulie nguo nikulipe huo ni udobi au Housegirl.
Nipe kampani nikulipe, Hawara.
Sheria hiyo itazalisha Makahaba ndani ya familia. Na mitoto badala ya kulelewa na Mama au MKE italelewa na Mama Kahaba au Hawara.

2. Kuongezeka Kwa idadi ya single mothers.
Utasikia; anakulipa shilingi ngapi pale, aah! Pale nalipwa laki na nusu" basi Mimi nitakulipa laki 3"
"Lakini ninawatoto naye" "basi nakuongezea laki tatu unusu" mwishowe unaachwa,

3. Vijana kutokuoa na ONGEZEKO la Watoto wa mtaani.
Vijana hawataoa lakini watapata Huduma zote za ndoa Kwa sababu Makahaba hapo kila pembe ya nchi yanauza Huduma za ngono tena Kwa bei rahisi kabisa.
Kama ni kazi za nyumba wapo HK(Housekeeper) WA kwenda na kurudi anakuja mara mbili au mara tatu Kwa wiki unamlipa elfu 30 shughuli imeisha.

Kimsingi hoja ya mke Kulipwa NI hoja za Makahaba na Malaya ambao wanataka ukahaba uwe official, na ukiwa official automatically wale Wadada warembo ndio watakuwa na soko.

4. Kuwadhalilisha na kuwanyanyasa Wanawake hasa wale wasio na mvuto.

Kwa sababu kama ishu ni kulipana basi wanaume watatafuta Ma-housegirl Wazuri wa kimaumbile na kufanya kazi. Jambo ambalo Wanawake wengi hiyo Sifa Hawana.
Kama mjuavyo, Wanawake ni dada zetu, Mama zetu, Shangazi zetu na Binti zetu Ila wale Wazuri tuseme huyu ni Mwanamke mzuri basi ni moja Kwa kumi, yaani wengi wao sio wenye ule uzuri wa kutushangaza Sisi wanaume.
Kutaka wanaume walipe Pesa ni kujaribu kuingiza unyanyasaji indirect way Kwa Wanawake wasio wazuri(ambao kimsingi wapo na wanajijua).

Zingatia pia, Kama ulipaji utazingatia utendaji kazi na uzuri basi automatically upendo hautakuwa na nafasi isipokuwa Pesa. Na kama mjuavyo Mwanamke anavyozidi kukua ndivyo anavyobadilika kimaumbile, wengi hawavutii, wanachuja muda huohuo kuna vitoto vibichi vitakuwa vinapanda vikiwa na chuchu konzi, come on! Kuweni serious.

5. Upendo hautakuwa nguzo ya Ndoa Bali Pesa.
Ndoa inaundwa na upendo. Wakati biashara msingi wake Mkuu ni Pesa.
Ile kuhurumiana, sijui kujaliana na kuthaminiana haitakuwepo. Kitakachofanyika ni kazikazi tuu. Nakulipa fanya kama nilivyokulipa. Unaumwa hiyo sijui, ukivunja kitu changu unakatwa kwenye Mshahara, ukitegea kazi unafukuzwa kazi.
Matumizi yako sijui nini, utayapata kwenye Mshahara wako,
Umefiwa au kwenu kuna shida hiyo haihusiani na Mume kwani Mume ni boss/mwajiri wako, hatakuwa na wajibu wa kukusaidia, isipokuwa utajilipia gharama kwenye Mshahara wako.
Hayo ni mambo ya Kazi.

Lakini kwenye upendo mambo NI tofauti, utajaliwa, utatunzwa, ukikosea au madhaifu yako utavumiliwa, utasaidiwa na Ndugu zako watazingatiwa. Ni Kwa sababu wewe ni MKE na sio Mfanyakazi ninayekulipa.

6. Hakuna kuunganisha undugu.
Mtu katoa Pesa na Mwanamke analipwa Kwa kazi atakazofanya ikiwemo kuzaa, utalipwa, na watoto tafsiri yake watanunuliwa.
Kama ni Watoto wataambiwa, Mama yenu alilipwa Kwa kila alichokifanya, Hii pia itashusha heshima ya Mama Kwa sababu Mama atakuwa anafanya majukumu yake Kwa sababu ya Pesa na sio Kwa sababu ya yeye ni MKE na Mama.

Sheria hiyo haiwezi kutungwa Duniani Kwa sababu itamkandamiza Mwanamke mwenyewe na kumnyanyasa. Hi ni Kwa sababu Mwanamke ndiye mhitaji WA ndoa zaidi kuliko mwanaume.
Pili, Sheria hiyo itamfanya mwanaume kuwa mwajiri wa Mwanamke ndani ya familia badala ya Mume. Hii itachochea kile ambacho baadaye kitaitwa Ukatili na unyanyasaji.

Sheria hiyo itavunja silika na hulka ya Mwanamke ya kutaka kumhudumia Mumewe Kwa hiyari/mapenzi pasipo kutegemea Pesa.
Sheria hiyo ni nzuri Kwa Makahaba lakini Kwa wale Wanawake wenye mapenzi na ile Roho ya kike itawanyima Haki zao za kuonyesha upendo wao Kwa Waume zao.

Wanawake wenye upendo Kwa Waume zao hufurahi pale wanapowajibika na kuwa na jukumu la kumhudumia Mumewe kama kupika na kumuandalia chakula mumewe, kuhakikisha Mume ni msafi n.k.
Kitendo cha Mwanamke kufikiri Pesa pale anapokuhudumia kinamaanisha Mwanamke huyo hakupendi na NI Malaya na Kahaba.

Saikolojia ya Wanawake pale anapopenda atataka mumewe au boy wake asihangaike, kumpa penzi Bola masharti ni kitu cha kawaida Kwa Mwanamke anayekupenda. Ukiona mwanamke anakupa vimasharti vyake visivyoeleweka hasa kama kukupikia, au kukupa penzi, hiyo ni red alert.

Kama vile mwanaume akimpenda Mkewe au Girl wake anavyowajibika Kwa hiyari(mapenzi) bila kutegemea malipo ya vitu ndivyo hivyohivyo Kwa upande Wawili.

Sheria hiyo iwekwe mahususi Kwa mahawara ili wasikose Haki za uhawara wao. Na pia mahususi Kwa Makahaba ili wasikose Haki Kwa ukahaba wao.
Lakini Ile ya Wanandoa wenye mapenzi waachwe wafanye Mambo Kwa utashi wao kadiri ya mapenzi yatakavyowaongoza kila familia na mapenzi Yao.

Shamira najua ulikuwa unatafuta Kiki, na umeipata lakini Kiki hii itapotosha jamii na kuiharibu.

Acha nipumzike SASA.
Nawatakia Sabato NJEMA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Dada Akili zake zipo Matakoni.
20230811_154111.jpg
Huyu ndio atakayelipwa????
 
Hili chapisho, naomba lichapishwe Havard
Hongera sana kwa ufafanuzi
 
Kwakweli kapuyanga kwanza kumfanyia jambo mtu unaempenda au mumeo Ni jambo la furaha

Huenda anayohaki Kwa kile anachokidai,
Kama yeye ni Kahaba au Hawara basi alichokisema kinaweza kuwa Haki Kwa Makahaba na mahawara ambao kimsingi nafikiri wanalipwa Kwa kila wakifanyacho Kwa Wanaume.

Lakini Mke halali hawezi Kudai kitu kama hicho.
Yaani MTU adai Kulipwa akimuogesha mtoto wake au kumfulia nguo mtoto wake, au kunipikia mumewe. Labda kama milembe imejaa, Daktari WA vichaa atahitajika hapo
 
Kuna jamaa yangu anapenda kutumia kauli hii hapa;

"Wajinga ni chakula cha wasomi"
Huyu binti inaonekana alikuwa anatafuta mtoko 'nitoke vipi' na hili kuamsha hisia lazima uangalie wapi pa kupiga, but huyu mjinga hajui ila linaenda kumpata.

Jamii inaenda kuparaganyika than here!.
 
Back
Top Bottom