SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

jamani mwambieni aje huku arusha, kama ni pesa 2 hamna shida atapata pesa anazotaka, lakn aje akiwa bikra na si yakutengeneza.
 
cheki humu!!!!! zingatia 3:16, 3:48, 6:14,
Wengine ugonjwa wetu huuuuuuuuuu, anapatikana wapi jamaniiiiiiiiiii?

Msikilize anaongea nini kwenye 5:07, jamanii mimi hoiiiiiiiiiiiiiii

[video=youtube_share;5_qlHwSxsbk]http://youtu.be/5_qlHwSxsbk[/video]

Duuu!!Mungu tusaidie.Halafu hizi nyimbo za pwani mbona kama ni matusi jamani...Huko kucheza kweli kunaruhusiwa na Baraza la sanaa???????
 
hana lolote, anauza mapenzi? aende kwa akina kanumba wamchezee then alainike kama wema
 
Haya maneno awambie wengine sio mimi. Anakera kwa kuomba omba. Mara Vocha mara ................................Ahaaaaaaaaaaaaaa Bure kabisa
 
cku zote wanaoyabahatisha maisha kidogo ukubwani wanamatatizo kama shillole

Ama kweli pata pesa tujue tabia yako
 
MSANII wa filamu ambaye pia anang’ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya.
“Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.
“Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha,” alisema Shilole.

SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers

Hamna kitu humo
 
C apeleke kwa mengi, bakhressa au manji coz c ndo wanaaminika wanazo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom