zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,938
Haaaaaaaaaaaaaaaaaah Hilo Jeshi la hiyo nchi hatari. Jeshi la nchi fulani linaajira Wageni sielewi.!
Mnaambiwa someni hamtaki, nyie mmekaa kujazwa ujinga na shule za St. Kayumba, hata USA waanajiri askari wa kigeni, isitoshe, ushawahi kuwasikia Gurkha? kikosi cha askari wakali sana wa Uingereza ambao si Waingereza?
Soma zaidi: Watching America **:** » The U.S. Military Looks to Foreign Soldiers to Fill Recruiting Gaps
Gurkhas: BBC News - Who are the Gurkhas?
Na nchi nyingi duniani zinaajiri askari wasio raia wao:
The United Arab Emirates has confirmed that the crown prince of Abu Dhabi has hired the founder of private security firm Blackwater Worldwide to set up an 800-member battalion of foreign troops for the UAE, a story that was published in the New York Times on Sunday.
Source: United Arab Emirates confirms creation of Special Forces to tackle contingencies
Sikioni mnachokionea ajabu Mtanzania akiwa askari Qatar, ni ujinga tu uliowajaa. Uaskari ni profession kama profession nyingine yoyote ile.