Yeye hapo hajui kuwa anaendeleza maneno yaleyale ya kunukisha? WaTanzania waliowengi wanasumbuliwa na rohoo mbaya pamoja na kutokujitambua.
Then baadae Lissu anaachiwa huru kwa mahakama kutokumkuta na hatia then atabadilisha kauli au?
Kama unakiri kuna haki imekiukwaa, basi mvunja amani siyo mdai haki bali ni yule aliyekiuka haki kwa kuivunja.
Kumbuka haki inatakiwa kudaiwa, ikibidi kwa nguvu...haki haiombwi.