Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,924
- 122,195
Kwenye sehemu ya kusajiliwa utajaza nini, au utaweka faili fake kama lile la K LynHv guys mtu unaweza pta ajira za afya na hujasajiliwa
Kwenye sehemu ya kusajiliwa utajaza nini, au utaweka faili fake kama lile la K LynHv guys mtu unaweza pta ajira za afya na hujasajiliwa
Anamaanisha usajili wa leseni katika mamlaka husikaHujasajiliwa wapi?
Cha kukusaidia! Ungewasiliana na tamisemi wajue wanakusaidia vipi kutatua tatizo lako!Jamani...naomba kuuliza hivi amna alternative ya kufanya application Za ualimu tamisemi bila kuwa na namba ya Nida...maana hawa nida wanazingua kutoa namba...msaada plz
Kuna ile sehemu ya kuchagua masomo na shule haikubali tunafanyeje ili ikubali tumalizie Bwana mdogo apate ajira leo siku ya mwishoAnamaanisha usajili wa leseni katika mamlaka husika
Nakushauri ukamalizie hiyo kazi Internet cafe.Kuna ile sehemu ya kuchagua masomo na shule haikubali tunafanyeje ili ikubali tumalizie Bwana mdogo apate ajira leo siku ya mwisho
Asante sanaNakushauri ukamalizie hiyo kazi Internet cafe.
Huko utapata full package ya msaada.
Hadi sasa maombi yaliyotumwa ni 89,000+ kwa kada ya elimu,na muda wa kutuma maombi umeongezwa hadi tar 28...
Ukipata hizi ajira nakupa shikamoo in advance
Barua yangu nimeiondoa leoHadi sasa maombi yaliyotumwa ni 89,000+ kwa kada ya elimu,na muda wa kutuma maombi umeongezwa hadi tar 28...
Ukipata hizi ajira nakupa shikamoo in advance
Tunaomba tangazo rasmi la kuongezwa muda.Hadi sasa maombi yaliyotumwa ni 89,000+ kwa kada ya elimu,na muda wa kutuma maombi umeongezwa hadi tar 28...
Ukipata hizi ajira nakupa shikamoo in advance
Tunaomba tangazo rasmi la kuongezwa muda.
Daaahh, hali ngumu sanaHadi sasa maombi yaliyotumwa ni 89,000+ kwa kada ya elimu,na muda wa kutuma maombi umeongezwa hadi tar 28...
Ukipata hizi ajira nakupa shikamoo in advance
Kwanini?Barua yangu nimeiondoa leo
Hili hapaTunaomba tangazo rasmi la kuongezwa muda.
Kwanza hata hao wa serikali wenyewe wamewekewa zengwe kwenye kipengele cha kituo so wanataka vituo vyao wao kiujumla mfumo wao haupo sawa halafu hawakupi nafasi ya kuwasiliana nao.Nasikia kipaombele wale walio kuwa wanajitolea, hi ikoje
Kama Lengo ni uzoefu ni kwa nini wasingeruhusu na walio kuwa private
Hii imekaaje
Hapo serikali ina mpango kweli wa kuajiri? Au inaendeleza drama tuKwanza hata hao wa serikali wenyewe wamewekewa zengwe kwenye kipengele cha kituo so wanataka vituo vyao wao kiujumla mfumo wao haupo sawa halafu hawakupi nafasi ya kuwasiliana nao.