Samaya
Senior Member
- Oct 24, 2012
- 127
- 165
Maelezo yao ya kuzingatia yana ukakasi, hayajaweka bayana ulazima wa kucertify, ila kama tunavyojua katika maombi mengi ya kazi huwa wanataka vyeti viwe certified.
Sasa kitendo chao hiki cha kutoweka bayana kinaleta sintofahamu kwa waombaji ambapo mtu anashindwa afuate lipi na aache lipi.
Mkuu Samaya kwenye demonstration yao kule YouTube, hawajazungumzia hili jambo?
Hawakuzungumzia ila kwenye maswali walyokua wanaulizwa kwenye acc zao walilitolea ufafanuz