Nyanda Banka
Member
- Mar 14, 2023
- 31
- 31
Hivi karibuni Tamisemi walitoa taarifa kuhusiana na ajira za ualimu na afya ya namna ya kuangalia maombi kama yalikubaliwa na waliweka ya kupiga *152*00# ili kutambua hali ilivyokuwa, kwa upande wangu mimi kama miongoni mwa niliyeomba (kuapply) ajira hizo kwenye kada ya ualimu sikubahatika kupata hizo ajira lakini nilivyoangalia hali ya maombi wanaletea meseji kuwa maombi hayakufanikiwa sasa najiuliza kivipi hayakufanikiwa wakati nilifikisha asilimia 100 kipindi naapply.
Hoja yangu ya msingi ni kuwa kwanini wasitoe na sababu ya kwanini maombi hayakufanikiwa.
Hoja yangu ya msingi ni kuwa kwanini wasitoe na sababu ya kwanini maombi hayakufanikiwa.