Hongera kwa ajira mpya za Walimu na Afya. Hongera pia kwa Serikali ya Rais Samia

Trinity

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
1,712
3,224
Nimejisikia kuwapongeza wale wote mliobahatika kuchaguliwa kulitumikia taifa hili.

Hii ni fursa njema hasa kwa watoto waliosomeshwa na kutegemewa na familia zao.

Do not look down kwa kejeli za Mpwayangu, nendeni mkafanye kazi kwa bidii huku mkitafuta plan B kwa kutumia kipato chako halali.

Tumeona wengi wakitoboa maisha wakitokea halmashauri kwenye kazi ya ualimu na afya pia.

Jambo la msingi msisahau kujiongeza nje ya ajira.

Sambamba na kuwapokezeni lakini pia kwa pamoja tuipongeze serikali ya Samia kwa kutoa kibali cha hizi ajira, lakini kubwa zaidi wameweza kuweka usawa na haki katika kuchagua vijana.

Nimeshuhudia rafiki zangu kadhaa ambao hawana connection na hawajui maana ya connection katika ajira, baada ya kuamka asbh najikuta napokea simu zao wakinipa taarifa za kulamba asali.

Hongera Tamisemi, hongera Samia.!

Kwa wale mliokosa, msikate tamaa kwani ajira hizi zinaenda na mwaka uliohitimu, wazungu wanasema " First in, first out" au zamu yako yaja.

Keep waiting while praying.!!
 
FIFO ya wapi acha kujitoa ufahamu emu nenda kaangalie orodha ya Clinical officers waliochahuliwa alafu urudi hapa na huo ujinga wako.
 
Duuh jamani hili taifa ni bora tutawaliwe tena au tufe wote waumbwe wengine waanze kuzaliana maana sio Kwa akili finyu mgando kama hizi. Unaweza kutoa hongera Kwa kazi ya ualimu itakayokupeleka kwenye Moto na laana ya kudumu umasikin uliopindukia
Kwa hiyo Mpwayungu Village Mpwayungu Village wewe watoto wako wanapataje elimu!???
 
Back
Top Bottom