Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Jamani...naomba kuuliza hivi amna alternative ya kufanya application Za ualimu tamisemi bila kuwa na namba ya Nida...maana hawa nida wanazingua kutoa namba...msaada plz
 
Jamani...naomba kuuliza hivi amna alternative ya kufanya application Za ualimu tamisemi bila kuwa na namba ya Nida...maana hawa nida wanazingua kutoa namba...msaada plz
Cha kukusaidia! Ungewasiliana na tamisemi wajue wanakusaidia vipi kutatua tatizo lako!
 
Kuna ile sehemu ya kuchagua masomo na shule haikubali tunafanyeje ili ikubali tumalizie Bwana mdogo apate ajira leo siku ya mwisho
Nakushauri ukamalizie hiyo kazi Internet cafe.

Huko utapata full package ya msaada.
 
Hadi sasa maombi yaliyotumwa ni 89,000+ kwa kada ya elimu,na muda wa kutuma maombi umeongezwa hadi tar 28...
Ukipata hizi ajira nakupa shikamoo in advance
 
Tunaomba tangazo rasmi la kuongezwa muda.
Hili hapa
IMG-20210522-WA0005.jpg
 
Wazee na afisa ustawi wa jamii lazima asajiliwe?? Na barua ya usibitisho wa kazi kutoka kwa mkurugenzi kama uliwahi kujitoloea ni muhimu sana ..
 
Nasikia kipaombele wale walio kuwa wanajitolea, hi ikoje
Kama Lengo ni uzoefu ni kwa nini wasingeruhusu na walio kuwa private
Hii imekaaje
 
Nasikia kipaombele wale walio kuwa wanajitolea, hi ikoje
Kama Lengo ni uzoefu ni kwa nini wasingeruhusu na walio kuwa private
Hii imekaaje
Kwanza hata hao wa serikali wenyewe wamewekewa zengwe kwenye kipengele cha kituo so wanataka vituo vyao wao kiujumla mfumo wao haupo sawa halafu hawakupi nafasi ya kuwasiliana nao.
 
Kwanza hata hao wa serikali wenyewe wamewekewa zengwe kwenye kipengele cha kituo so wanataka vituo vyao wao kiujumla mfumo wao haupo sawa halafu hawakupi nafasi ya kuwasiliana nao.
Hapo serikali ina mpango kweli wa kuajiri? Au inaendeleza drama tu
 
Back
Top Bottom