Kwani tatizo la elimu yetu ni uchache wa tahasusi/combination?

Wamemshirikisha nani na wapi kuamua hatma ya vijana wetu?

Hii kwa sasa imetekwa nyara na genge baya kuliko wakoloni.
Wanatoa combination bila walimu wa kufundisha hizo combination hii nchi kila mtu kavurugwa.
 
Kwani tatizo la elimu yetu ni uchache wa tahasusi/combination?

Wamemshirikisha nani na wapi kuamua hatma ya vijana wetu?

Hii kwa sasa imetekwa nyara na genge baya kuliko wakoloni.
Mkuu sio kwamba kulikuwa na kamati iliyotembea mikoani na wilayani kukusanya maoni ya mabadiliko ya sera ya elimu ya 2024 toleo la 2023? Pia kupitia mitandao ya jamii. Kamati hiyo ilikuwa ikiratibiwa na TIE na waziri wa elimu. Au mimi ndio nachanganya mambo?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nasubiri siku waitoe kabisa hii level ya advance watoto wasome mwisho ordinary level. Advance ni kupoteza muda tu
 
Mimi naona kuna muda CCM kilichobaki kama huku mtaani tunavyosema ukichezea maisha yatakupiga kwa ili Serikali ya CCM ndio inalitafuta.

Wayofanya kwenye mitaala ya elimu ni kwamba watanzania tubaki kuwa wajinga kwa vizazi vyetu ili wao watoto wao wasome mitaala ya nje.

Je Tamisemi kwa nini inaingilia wizara ya elimu na kutoshirikisha wadau wa elimu na maoni?.
 
Ongeza maelezo ili tuelewe kwenye mitaala kunashida gani. Kwa ulivyo andika huja bainisha tatizo lolote.
432743984_7363760073715621_5895867460652381162_n.jpg
 
Back
Top Bottom