Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,552
- 52,287
Uzuri umeacha kujichekeshachekesha kama malaya kaona pesa
Ukishakuwa na athari za kisaikolojia na kimaumbile haya ndio Matokeo.
Uzuri umeacha kujichekeshachekesha kama malaya kaona pesa
Hawa wote ndio wale wale kama Yeriko Nyerere (Kachero Mbobevu wa Mbutu)Ndiyo akina nani hao?
Umetumia kigezo gani kuwapima akili zao?Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.
Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams
Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.
Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.
Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua
Tangu unaitwa Jambo Hadi ukaitwa Jamii it been a long timehuu mtandao umeanza kutumia lini rasmi kabla ya kuwa na id
Hiyo inajulikana Mkuu kila mtu anajua kuwa hao Jamaa wapo smart upstairsUmetumia kigezo gani kuwapima akili zao?
Nimetoa pendekezo na endapo likifanyiwa Kazi Basi tutegemee mabadiliko Maana Tz tuna uhaba wa watu wenye akili za kuiona Kesho kwa picha ya MaendeleoMkuu, unauhakika gani kwamba Serikali haiwatumii watu hao ulio wataja?!
Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama MjiniNikupongeze kwa kutaja hilo, lkn mtu pekee ambaye mawazo yake tukiyachunguza na kuyatumia kwa umakini nchi itasonga, ni yule mbunge aliyesema tuanzishe CHUO CHA WIZI. Ukimamsikiliza hoja zake utagundua ni aina ya watu ambao wanawaza nje ya upeo wa wengi wa kufikiri.
Oya huna akili. Mbona unalazimisha uonekanae wa maana wakati wewe ni mpumbavu? Just chillax. Wewe ni mpuuzi mwenye kuandika maneno mengi yaliyojawa pumba na upumbavu wakeUkishakuwa na athari za kisaikolojia na kimaumbile haya ndio Matokeo.
😁😁😁😁Huyo jamaa hana akili ya kugundua akili za chizi maarifa. Wewe upo smart sana ndo maana umegundua hili. Kuna Wakenya fulani wamo humu wanataka sana niende nchini kwao nipewe na Uraia nikagombee urais. Sema tu mimi sipendi shobo
🤣🤣🤣Mtu mweny mawazo ya kutunga tunga na mbinafsi kusifiwa kwao akaongoz kwao hatutaki upumbavu sisi .
🤣🤣🤣Huyo jamaa hana akili ya kugundua akili za chizi maarifa. Wewe upo smart sana ndo maana umegundua hili. Kuna Wakenya fulani wamo humu wanataka sana niende nchini kwao nipewe na Uraia nikagombee urais. Sema tu mimi sipendi shobo
Dr ManyaunyauYani wewe dogo aliyekwambia watu wenye akili ndo sio maskini ni Nani?
Wewe ni Dr uko shuleni ulienda kusomea mitishamba??
Oya huna akili. Mbona unalazimisha uonekanae wa maana wakati wewe ni mpumbavu? Just chillax. Wewe ni mpuuzi mwenye kuandika maneno mengi yaliyojawa pumba na upumbavu wake