Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

Mjomba watu wengine ni bora tukaendlea tu kubaki nao humu watatufaa ikija kuwa hvyo unavyotaka ww utawakataa hawa mifano tunayo mingi sana
 
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.

Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams

Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.

Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.

Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua
Umetumia kigezo gani kuwapima akili zao?
 
Mkuu, unauhakika gani kwamba Serikali haiwatumii watu hao ulio wataja?!
Nimetoa pendekezo na endapo likifanyiwa Kazi Basi tutegemee mabadiliko Maana Tz tuna uhaba wa watu wenye akili za kuiona Kesho kwa picha ya Maendeleo
 
Nikupongeze kwa kutaja hilo, lkn mtu pekee ambaye mawazo yake tukiyachunguza na kuyatumia kwa umakini nchi itasonga, ni yule mbunge aliyesema tuanzishe CHUO CHA WIZI. Ukimamsikiliza hoja zake utagundua ni aina ya watu ambao wanawaza nje ya upeo wa wengi wa kufikiri.
Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini
 
Je kiongozi wa juu wa nchi anazo Akili Je anae mfata anazo Akili je wanao mshauli wanazo Akili. Kama viongozi wa Tanzania wange kua na Akili wasinge tengeneza gereji za mwendo kasi pale jangwani kwenye mkondo wa maji.
 
Huyo jamaa hana akili ya kugundua akili za chizi maarifa. Wewe upo smart sana ndo maana umegundua hili. Kuna Wakenya fulani wamo humu wanataka sana niende nchini kwao nipewe na Uraia nikagombee urais. Sema tu mimi sipendi shobo
😁😁😁😁
 
Huyo jamaa hana akili ya kugundua akili za chizi maarifa. Wewe upo smart sana ndo maana umegundua hili. Kuna Wakenya fulani wamo humu wanataka sana niende nchini kwao nipewe na Uraia nikagombee urais. Sema tu mimi sipendi shobo
🤣🤣🤣
 
Mshana Jrn. mimi namuona mropokaji sana. Ila huyu Bams ni hatari mno akiandika kaandika. Kuna yule ngiri maji anayeandika kama Ngiri anavyokimbia mkia juu sijui anaitwa Gem....nini sijui very hopeless man.
 
Oya huna akili. Mbona unalazimisha uonekanae wa maana wakati wewe ni mpumbavu? Just chillax. Wewe ni mpuuzi mwenye kuandika maneno mengi yaliyojawa pumba na upumbavu wake

Hilo mwambie Mtoa Uzi aliyenitaja.
Madhara ya athari za kisaikolojia na kimaumbile unazidi kuyadhihirisha. Ni kawaida Kwa mtu wa Aina yako kuwa hivyo ulivyo. Pole Sana.
 
Back
Top Bottom