Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,899
45,309
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.

Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams

Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.

Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.

Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua
 
Kweli wewe ni chizi mwenye maarifa.. only few in a million.
Huyo jamaa hana akili ya kugundua akili za chizi maarifa. Wewe upo smart sana ndo maana umegundua hili. Kuna Wakenya fulani wamo humu wanataka sana niende nchini nipewe na Uraia nikagombee urais. Sema tu mimi sipendi shobo
 
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.

Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams

Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.

Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.

Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua

Nikupongeze kwa kutaja hilo, lkn mtu pekee ambaye mawazo yake tukiyachunguza na kuyatumia kwa umakini nchi itasonga, ni yule mbunge aliyesema tuanzishe CHUO CHA WIZI. Ukimamsikiliza hoja zake utagundua ni aina ya watu ambao wanawaza nje ya upeo wa wengi wa kufikiri.
 
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.

Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams

Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.

Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.

Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua

Ahsante Sana Mkuu.
Nashukuru ku- appreciate nikiwa mzima. Barikiwa.
 
Mtu mweny mawazo ya kutunga tunga na mbinafsi kusifiwa kwao akaongoz kwao hatutaki upumbavu sisi .
 
Nimekujibu kule kwenye Uzi wako , we ni tycom wa fasihi , sema mke wako mzuri Sana Mzee nilimuona alaf unawashauri vijana wasioe Acha hzo mkuu

😂😂
Nimeona jibu lako, ninyi wachawi mnaloga bila tunguli, mnatumia wireless. Kisa walifurahia kifo cha jpm nanyi mnaona ni Wakati wa kulipiza Kisasi?
Akutendeaye Mabaya usimlipe mabaya. Fanya kila Jambo Kwa Wema.

Kuhusu shemeji yako tayari nimejiunga na mafunzo maalumu ya kujitoa mhanga Kwa atakayeleta pua yake😀. Pia nimeajiri mtaalamu wa mapigo ya moyo, presha, sukari, n.k maana kuoa MKE Zama hizi lazima ujipange. Vijana
 
Watanzania watalia sana siku hiyo watakapo onekana hadharani hao watajwa.

Ulaya na kwingineko sijui ndio itakuwaje!
 
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.

Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams

Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.

Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.

Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua
Ndiyo akina nani hao?
 
Back
Top Bottom