Kuna pimbi mmoja utamsikia kesho anasema tuna chuki na serekali ya huyu mama kwa mambo ya hivi kwanini usichukie wapinzani wamewekewa chakula mdomoni hawafai kuongea na chakula liko mdomoni Kuna mambo yanafanyika hadi unasema huyu mama kwa vile yeye ni mzanzibar anauza Mali za wabara kwakua akimaliza hatamu yake anarudi kula ulujo kisiwani.
M nashangaa Maguful alianzisha mbuga kule chato na ndan ya Tanzania watu wakapiga kelele mara hoo Magu anafanya vibaya kuwaamisha na yeye alifanya Ivo ili kuongeza utalii katika mikoa ya Kanda ya ziwa. Sasa sikia mama anawapeleka uraya bas shangilien maana ss Watanzania atueleweki Kwa Magu mlipinga bas shangilien kwa Mama tujue
 
Kuna wanaharakati wetu waliwahi kuongea sana na kuiponda awamu ya tano kwa kuhamisha baadhi ya wanyama kutoka baadhi ya hifadhi na kuwapeleka hifadhi ya Burigi wakati lengo la JPM ilikuwa kukuza utalii maeneo yote hasa yenye akiba ya mapori, leo inatolewa idhini ya wanyamapori kusafirishwa nje ya nchi hutasikia hao walioibeza awamu ya tano wakipiga kelele. Tanzani tunaendesha siasa za chuki sana. kila mabaya ya awamu ya sita ni mazuri kwao, ila yaliyokuwa mazuri ya awamu ya tano kwao yalionekana mabaya. tunaomba na leo mpige kelele kama kweli nyie ni wazalendo.
Hao wanyama wabakie hapa ili waje kuwaona ukiwapelekea kwao watakujaje kufanya utalii kwetu maana wanauwezo hata wa kuwanunua wanyama wote tulionao na wakatengeneza zoo zakutosha kwao huko. Tanzania tunashida gani lkn?.😓🤐
 
Oyooo twiga anapanda ndege tena
kazi na iendelee.utawezaje dhibiti usafirishaji huo?ndo fursa kwa wafanyabiashara na watumishi wa wizara hiyo kupiga diri.kwa nn wanyama hao wasiruhusiwe kurishwa mbugani na huko nje wanaenda kufanya nini kama si kuua hifadhi zetu.vita vya kiuchumi ni ngumu tuendelee kuibiwa.yalianza makinikia na sasa ni wanyama hai.tunaupiga mwingi.
 
Kuna wanaharakati wetu waliwahi kuongea sana na kuiponda awamu ya tano kwa kuhamisha baadhi ya wanyama kutoka baadhi ya hifadhi na kuwapeleka hifadhi ya Burigi wakati lengo la JPM ilikuwa kukuza utalii maeneo yote hasa yenye akiba ya mapori, leo inatolewa idhini ya wanyamapori kusafirishwa nje ya nchi hutasikia hao walioibeza awamu ya tano wakipiga kelele. Tanzani tunaendesha siasa za chuki sana. kila mabaya ya awamu ya sita ni mazuri kwao, ila yaliyokuwa mazuri ya awamu ya tano kwao yalionekana mabaya. tunaomba na leo mpige kelele kama kweli nyie ni wazalendo.
Hao wanyama wabakie hapa ili waje kuwaona ukiwapelekea kwao watakujaje kufanya utalii kwetu maana wanauwezo hata wa kuwanunua wanyama wote tulionao na wakatengeneza zoo zakutosha kwao huko. Tanzania tunashida gani lkn?.
Sio poa
 
Dunia ni mali ya watu wote, wapo wasio na uwezo wa kuja Tanzania kuona Twiga wala Simba, wakienda kukaa kwenye mazoo huko nao watawaona..

Mtalii anayekuja Serengeti kuangalia Twiga, Simba nk haji kumuona Simba kwenye Zoo anahitaji kumuona Simba akiwa polini kwenye Ecology yake..

Wanyama nao wanapigana miti na kuzaliana kila kitu, kama kuna faida kwa nchi wakiuzwa Twiga, Swala na Simba acha tu wauzwe
 
Kuna wanaharakati wetu waliwahi kuongea sana na kuiponda awamu ya tano kwa kuhamisha baadhi ya wanyama kutoka baadhi ya hifadhi na kuwapeleka hifadhi ya Burigi wakati lengo la JPM ilikuwa kukuza utalii maeneo yote hasa yenye akiba ya mapori, leo inatolewa idhini ya wanyamapori kusafirishwa nje ya nchi hutasikia hao walioibeza awamu ya tano wakipiga kelele. Tanzani tunaendesha siasa za chuki sana. kila mabaya ya awamu ya sita ni mazuri kwao, ila yaliyokuwa mazuri ya awamu ya tano kwao yalionekana mabaya. tunaomba na leo mpige kelele kama kweli nyie ni wazalendo.
Hao wanyama wabakie hapa ili waje kuwaona ukiwapelekea kwao watakujaje kufanya utalii kwetu maana wanauwezo hata wa kuwanunua wanyama wote tulionao na wakatengeneza zoo zakutosha kwao huko. Tanzania tunashida gani lkn?.😓🤐
Kuna watu walifuga vipepeo ili kuuza wakazuiliwa, we una ona ni haki? Na wizara imesema ni wale wanyama wadogo walio kua wana fugwa kwa ajili ya kuuzwa. Na sababu ni kwamba kitaalamu huwezi kuwarudisha tena porini.
 
Hapa Sasa viongozi wanaenda kusafirisha wanyama kupitia migongo ya hao wanaoitwa wenye leseni za kusafirisha wa nyama....Mama atafungua nchi mpaka atapitiliza..... Royal tour imeamua kuwapelekea wageni wanyama huko huko walipo.
 
Umesoma tangazo lao Serikali vizuri? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220605-144433.png
    Screenshot_20220605-144433.png
    159.1 KB · Views: 5
Chadem wako hap bado mtamdharau magu tu au ..magu Ni rais haswa hata kama Ni muuaji ila Ni rais haswaaa

Ovaa
 
Simple logic hao jamaa wa nje wakiwa na wanyama kama wa kwetu utalii si utakoma kwetu
Hapana hari ya hewa nitifauti huwezi kumchukua kiboko au nyumbu ukawaifadhi ulaya hawata weza kuishi kutokana hari ya kijografia
 
Kufika 2030 wanyama watakua wameisha nchi hii maana sasa watasafirishwa kwa hasira sana kufidia muda ule ambao hawakua wanasafirishwa.

Hii nchi sasa ni ruksa kwa kila kitu, nchi imefunguliwa kwa rushwa, wizi, mikataba mibovu, na kila kitu.

Huyu mama kwao Zanzibar hawana wanyama zaidi ya pweza na ngisi anataka amalize wanyama wetu kisha arudi kwao Zanzibar.

Watanganyika tumekwisha.
Mbona miaka yote hiyo nyuma tangu enzi ya Nyerere hao wanyama hawakwisha? Vibali vimezuiwa tangu 2016 ni miaka 6 tu ukipiga mahesabu.
 
Hawauzwi wanyama waliopo kwenye hifadhi za taifa au mamlaka ya hifadhi (Ngorongoro) ila wanauzwa wanyama wa kwenye vitalu.
Maneno tu hayo ambayo hawana uharisia wenye vitalu watawawinda Twinga, duma nk, usiku watawaifadhi kwenye vitalu vyao
 
Ngoja mama watafutie hela
Mkiongezwa posho mnashangilia
Wakiajiri mnashangilia
Mkiongezwa mishahara mnashangilia
Wanafunzi wote wakipatiwA mikopo ya elimu ya juu mnashangilia

Sasa pesa zinatoka wapi?

Je ni bora kuwa na wanayama maporini huku mnakufa njaa?
Kwamba Mnyamapori azeeke hadi ajifie ndo tufurahi?

Wauzwe tupate pesa!
Hii ni biashara na watu watapata pesa.

Maisha ni biashara, biashara yenye akili.
Siyo kupinga tuu under Emotional attacks.

Mama piga kazi
Unaakili sanaa wewe
 
Back
Top Bottom