stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,906
- 27,559
Kwahiyo bora iendelee kufanya ndivyo sivyo kwakuwa tu imeajiri watu wengi na serikali inakusanya kodi kubwa kutoka hiyo kampuni,unaijua kampuni ya mafuta iliyokuwa inaitwa BP,umeshajiuliza iko wapi...?Sky.... hebu edit habari yako.... alafu haijafutiwa bali inasemekana inaweza kufutiwa
Then ni jambo lisilowezekana kirahisi kuifungia tigo cz imeajiri maelfu na inaiingizia serikali kodi kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app