Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Nilisikia dhurma ya kiwanja alikichukua akawalipa wasiohusika na kesi akashinda kiujanja janja wakamsihi sana arejeshe akagoma wakampa ukweli akaujua lakini akakomaa.. akaombewa Dua baya akaona poa halimfanyi kitu kumbe huwa Dua mbaya zinatabia tofauti inaweza ikawa wakati huo huo au baadae kukupata au unapozidisha maovu ndio inachanganya kama now
Hakuna cha dua wala nn hio dua ilikua inasubiri magufuli aingie,...mbna sumaye na watu wengi tu wamefutiwa umiliki makampuni kadhaa yamefutiwa leseni kwaio ni dua za waislamu hizoii eeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana kuna mkakati wa kumfilisi Manji

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni ndoto za masikini wana kampuni za kifamilia kisheria ni ngumu kuifilisi na wamewekeza nchi nyingi Sana, Kenya,UK,Canada nk uturuki wana kampuni kubwa sana ya kutengeneza mabodi ya mabasi ya Marco polo wanauza nchi za ulaya mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIGO kampuni inayomilikiwa na Yusuph Manji imefutiwa leseni ya biashara kwa majibu wa gazeti la mwananchi
Halotel walipashwa wawe wa kwanza kufutiwa leseni maana hawa ndio majambawazi. Kufuta leseni kwa hiyo na wateja namba zinafutika au Tigo inaunganishwa na TTCL hahahahah Hii nchi buanaaaa vituko haviishi.
 
Hili la Manji mbona sasa inaonekana kama ni SERA ZA KIBAGUZI na VISASI?? Mbona Manji anafuatiliwa sana kwenye issues za siku nyingi kwenye awamu zilizopita? TCRA walikuwa wapi tangu 2003 walipompa masafa? Huyu si ni mzawa na Mtanzania mwenzetu, kaikosea nini Serikali ya Magufuli? Huyu ni Raia(Mhindi Mtanzania) lakini kila siku ana andamwa kwa sababu ya mali zake alizochuma kwa bidii yake na kwa sera za wakti huo? Tunaona kina Harbinder Singh na Rugemarila nao wako ndani sababu ya IPTL ambayo Serkali ya CCM walioomba IPTL ilete umeme wa Dharura baada ya MTERA ya TANESCO kukauka maji . Shida iko wapi??

This is becoming too much now! Wanataka Manji afie mahabusu? Wewe mtu yuko rupango huku unataka kufuta Kampuni yake, ni saa ngapi atajipanga ili kuhakikisha kwamba Mycell haifutwi?Huu ni uonevu uliokithiri mipaka!! Je, au ndiyo maneno na sera za Magufuli za kwamba, WALIOKUWA WANAISHI KAMA MALAIKA LAZIMA WAISHI KAMA MASHETANI??Sipati picha !
 
Alisema haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa, mqdhara yake hayo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo ni hasira na visasi vya kijinga. Uongozi hauko hivo huwezi kuwa unanyanyasa watu kwa maneno waliyotamka dhidi yako ambayo kimantiki hayana madhara yeyote! Nakumbuka hata Mbunge mmoja wa CCM Bw. Juma Nkamia aliwahi kutumia hiyo lugha Bungeni kwa kumwita Mbunge wa Upinzani kuwa ni mbwa! Mbona hakuchukuliwa hatua zozote???
 
Kina Bill Gates wangefanyiwa hivi na serikali zao hii misaada wanayotupa tungeipata wapi?

Watakaopoteza ajira wakale wapi?

Anyway,madaraka yana mwisho.
Wanavunja sheria? Hivi ujui wazungu awana mchezo na sheria.. Ndio tulisikia kina Mike Tyson, Michael Jackson walishtakiwa kwa makosa mbali mbali..

Au kina Mesi, Ronaldo wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali
 
Hili la Manji mbona sasa inaonekana kama ni SERA ZA KIBAGUZI na VISASI?? Mbona Manji anafuatiliwa sana kwenye issues za siku nyingi kwenye awamu zilizopita? TCRA walikuwa wapi tangu 2003 walipompa masafa? Huyu si ni mzawa na Mtanzania mwenzetu, kaikosea nini Serikali ya Magufuli? Huyu ni Raia(Mhindi Mtanzania) lakini kila siku ana andamwa kwa sababu ya mali zake alizochuma kwa bidii yake na kwa sera za wakti huo? Tunaona kina Harbinder Singh na Rugemarila nao wako ndani sababu ya IPTL ambayo Serkali ya CCM walioomba IPTL ilete umeme wa Dharura baada ya MTERA ya TANESCO kukauka maji . Shida iko wapi??

This is becoming too much now! Wanataka Manji afie mahabusu? Wewe mtu yuko rupango huku unataka kufuta Kampuni yake, ni saa ngapi atajipanga ili kuhakikisha kwamba Mycell haifutwi?Huu ni uonevu uliokithiri mipaka!! Je, au ndiyo maneno na sera za Magufuli za kwamba, WALIOKUWA WANAISHI KAMA MALAIKA LAZIMA WAISHI KAMA MASHETANI?
Wewe ni ZWAZWA!
 
Wewe ni ZWAZWA!

Wewe ndio Zwazwa, Kihiyo na Bashite mwenye zero yenye masikio.
Ungejibu hoja zangu ningeliona una akili! Kusema zwazwa haikusaidii zaidi ya kuonyesha udhaifu wako na kutokuwa na hoja!You just challenge my points, Iam gonna understand you, failure to which you're just a Fool!
 
Hizo ni ndoto za masikini wana kampuni za kifamilia kisheria ni ngumu kuifilisi na wamewekeza nchi nyingi Sana, Kenya,UK,Canada nk uturuki wana kampuni kubwa sana ya kutengeneza mabodi ya mabasi ya Marco polo wanauza nchi za ulaya mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kinachomtesa Rais Magufuli ni wivu,chuki,choyo na uonevu kwa watu wenye Fedha/Mali. Bila shaka hata Bill Gates angelikuwa anafanyia Biashara zake za Microsoft hapa Tanzania kwa Magufuli angelikuwa saa hizi yuko Keko. Magufuli alishatamka wazi kuwa watu wanaoishi kama Malaika lazima waishi kama Mashetani kwenye Utawala wake>.....!!!
 
Usifanye mchezo na Sirikali. Huyu ndio Mungu Wa kwanza unayekutana Naye kila unapoamka asubuhi kwenda mihangaikoni.

Utapimwa mkojo bure..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila zama na kitabu chake wapo waliokula hadi nyama za watu na wengine kujiita mungu walishapotea duniani wameacha dunia inasonga kushindana na dunia sawa na kukimbiza upepo,zama zitapita maisha yatasonga tu.Maisha hayana garantii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom