Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Sasa kufungia biashara apa bongo wakat huko kwingine inafanya kazi itamsaidia nn baba jesca?

Apo anataka kutengeneza bifu jingine la wafukuzwa kazi sio. Waliopo hajawaajiri mwaka wa 2 Sasa, waliokuwepo serikalin kawafukuza, wa sekta binafsi nao anaona wanafaidi basi anayafunguia makampuni kazi ama anawasababisha wayafunge.

Idadi ya wasiokuwa na kazi inaongezeka, mianya ya ajira inaminywa kbs.

Afu faini za overspending zinaongezeka. Hii ndiyo tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom