Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Noteddaaah
Noteddaaah
Makengeza !Sio bashite kweli?
....hii ni cross cutManji anapelekewa ngumi mfululu ..upper cut.. lower cut ..mara jab dah
basi acha majunguUmbea unao wewe unayetaka ushahidi !
...yule mchunga ng'ombe mwingine aliyekosa aliahidi angerudi machungani, cha ajabu bado yupo yupo mjiniPale mchunga ng'ombe anapopewa madaraka makubwa kuliko uwezo wake.
Majungu anayo manji !basi acha majungu
Kutenganisha ni maamuzi yako.. ila sie tunafahamu kiimani huwa inakumba kila kitu refer Nabii Ayoub alikuwa Tajiri sana kisha akapoteza mali zote na akaugua sana akafiwa na ndugu wote na watoto mkewe akimuambia akufuru yeye aligoma... Mwenyezi Mungu akampa maisha mapya tena mazuri na umri mrefu wa kuishi watoto wengi tena Manji akatubu tu ukifungiwa ridhki duniani na mbinguni pia unafungiwaMasuala ya Kibiashara tuspende sana kuyahusianisha na imani ni vyema masuala ya imani yakawa treated kiimani na ya kibiashara yakawa treated kibiashara. ..let's be really na kuweka mambo kwenye mizan za kitaalam zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mkuu kwa visasi, sina hamu nae....Visasi vinaendelea.
....nadhani hilo nalo ni mojawapo!!Yale mabulungutu ya Dodoma, hahahahahaaha
Mtaalamu gani aende/ashauri kinyume na Mkuu?Nionavyo mimi apo kuna ajira nyingi sana zitapotea kama kuna makosa Kampun ambayo kwa jina inaitwa (My Cell)kama skosei. .. ipigwe faini ata kama ni kubwa kama tunavyofanya kwenye migodi ili maisha yaendelee tusije tukazalisha vibaka atakayeumia zaidi si Manji ila ni wafanyakazi..Manji atakua na pesa nyingi tu nje za Family group ambazo ksheria mtu hawez kuztreat kama za kwake ila ni za kwake kwa upande mwingine. ..
rejea ICC walipohoji utajiri wa Uhuru Kenyata jibu likawa kua zile si mali za Uhuru bali ni za Kenyata/Mama Ngina family property ambapo kisheria family Group of company si mali ya mtu japo kiualisia anakua na maslahi makubwa ndani yake. .wataalam wetu waliangalie ili suala kwa jicho la tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala huu hakika.."umefitinika"Sasa kufungia biashara apa bongo wakat huko kwingine inafanya kazi itamsaidia nn baba jesca?
Apo anataka kutengeneza bifu jingine la wafukuzwa kazi sio. Waliopo hajawaajiri mwaka wa 2 Sasa, waliokuwepo serikalin kawafukuza, wa sekta binafsi nao anaona wanafaidi basi anayafunguia makampuni kazi ama anawasababisha wayafunge.
Idadi ya wasiokuwa na kazi inaongezeka, mianya ya ajira inaminywa kbs.
Afu faini za overspending zinaongezeka. Hii ndiyo tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama ametubu tutajuaje? ilo ni suala la imani..Kutenganisha ni maamuzi yako.. ila sie tunafahamu kiimani huwa inakumba kila kitu refer Nabii Ayoub alikuwa Tajiri sana kisha akapoteza mali zote na akaugua sana akafiwa na ndugu wote na watoto mkewe akimuambia akufuru yeye aligoma... Mwenyezi Mungu akampa maisha mapya tena mazuri na umri mrefu wa kuishi watoto wengi tena Manji akatubu tu ukifungiwa ridhki duniani na mbinguni pia unafungiwa
"Chizi kapewa rungu"....Kazi kweli kweli. Tatizo ni nchi kuendesha na katiba zaifu na kutegemea utashi wa raisi. Kama ni mfanyabiashara Tanzania inabidi kujiuliza hili swali kila miaka kumi. Kwa stahili hii tutaendelea kuwa wa mwisho tuu.
Ni hisia zako kwani waislam ndo wanaotaka kumfilisi? Yaani ni kama huku kwetu uswahilini ambavo masikini utamani kuona wenye nazo wakifirisika.aliepewa kapewa masikini ataendelea kuwa masikini na hawezi shindana na tajiri ni mapito tu.Ni hulka tu za masikini ukipika nyama wananuna.manji awaombe msamaha waislamu la sivyo atakuwa apache alolo