Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

sasa namba zetu za goti ndio inakuwaje tena.
 
Kina Bill Gates wangefanyiwa hivi na serikali zao hii misaada wanayotupa tungeipata wapi?

Watakaopoteza ajira wakale wapi?

Anyway,madaraka yana mwisho.
Wewe mwenyekiti wa Bawacha taifa unajua kampuni yenyewe inayo ongelewa? unazijua sababu za kutaka kufungiwa?
Bawacha punguza kuvamia kila jambo hata ambalo hulijui....
 
Mbona mafisadi wengine wanasamehewa na tena wanapewa siku za kulipa kabisa wengine wanaitwa wanaume.
Si mumpige fine tu jamaa then watu wasipoteze ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia dhurma ya kiwanja alikichukua akawalipa wasiohusika na kesi akashinda kiujanja janja wakamsihi sana arejeshe akagoma wakampa ukweli akaujua lakini akakomaa.. akaombewa Dua baya akaona poa halimfanyi kitu kumbe huwa Dua mbaya zinatabia tofauti inaweza ikawa wakati huo huo au baadae kukupata au unapozidisha maovu ndio inachanganya kama now
Yaani manji tajiri afu anawatapeli masikini
 
Wakuu ni kampuni gani ya simu?
Ni kikampuni cha mfukoni kinaitwa "MyCell" hakijawahi kuwa hata sokoni, nadhani hata yeye anajua kimeshamshinda anapigana kuichukua Tigo mahakamani.

- Sasa sisi wabongo TUNAZOZA mpaka DOMO linavimba kwa kuwa MANJI kakamatwa
 
hiyo misaada manji anakupa wewe na familia yako? nenden mkafanye kazi acheni ujinga

Kina Bill Gates wangefanyiwa hivi na serikali zao hii misaada wanayotupa tungeipata wapi?

Watakaopoteza ajira wakale wapi?

Anyway,madaraka yana mwisho.
 
TIGO kampuni inayomilikiwa na Yusuph Manji imefutiwa leseni ya biashara kwa majibu wa gazeti la mwananchi

Sijui kwanini naipenda sana hii Kauli " Siongei na Mbwa bali naongea na mwenye Mbwa hivyo mwambie aliyekutuma anitafute kwani anajua jinsi ya kunipata au aniite nitaenda kumuona acha kuwa na kiherehere na kujifanya unajua taratibu "

Msaada jamani hili lile Sinema ( Movie ) lenye Title ya PAY BACK lilichezwa na nani vile? Halafu mnaojua Kiingereza ( mliosoma ) hivi hilo neno la ' Pay Back ' lina maana gani hasa?

Na wale Wahenga waliposema kwamba ' ukilijua hili wenzako wanalijua lile ' walikuwa na maana gani hapa?
 
Aisee huyu jamaa atakoma kuringa, kwa hali ilivyo na wadhifa wa mbaya wake kama akitoboa hadi 2020 na nchi anaweza kuihama kabisa
 
kuna watu ni wapumbavu sana, badala ya kununua gazeti then story ndo ukaanzisha post ww unaleta kichwa cha habari! wapumbavu zaidi ni wale wanaoanza kujadili bila kujua habari yote inahusu nn, na ni kampuni gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awaombe radhi waislamu waliomuombea dua mbaya kama vile watu Wa Kibaha na Mvomero walivyomuombea dua mbaya Sumaye. Mrema yeye ilibidi awaombe radhi, angalau rasha rasha imemfikia.

Mbona lipumba kasomewa na bado anadunda?
 
Sijui Manji alimkosea nini Baba Bashite. Ugomvi wao utakuwa mkubwa sana na sio tu kuambiwa ''siongei na Mbwa..."". Usikute walizidiana kete kwenye mizigo.
 
Back
Top Bottom